Imani ya Mahakama imepungua sana lakini wanaweza kuirudisha kwa kutenda haki. Vilevile mkiendeshwa na Ikulu sio tu Mahakama itakuwa haina imani kwa watu bali itaonekana ni chombo cha mafisadi kama kwasasa ilivyo Bunge
Kesi ya Tundu Lissu ndiyo inakwenda kupigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la mahakama huru na pia inakwenda kuwavua nguo majaji wote nchi hii na kuonekana kama ni mahouseboy wa Samia tu.
Imani ya Mahakama imepungua sana lakini wanaweza kuirudisha kwa kutenda haki. Vilevile mkiendeshwa na Ikulu sio tu Mahakama itakuwa haina imani kwa watu bali itaonekana ni chombo cha mafisadi kama kwasasa ilivyo Bunge
Siku hizi ni njaa kali...wameamua kujisalimisha kwa CCM ili waishi.Kesi ya Ugaidi ya Wilfred Lwakatare na Wenzake kule Igunga- Tabora ...Jaji aliitupilia mbali na kutoa onyo kali kimamlaka sana Kwa Polisi baada ya kuwasilisha mahakamani ushahidi wa Panga 1 na Bisisi 2 kama vifaa vya Ugaidi na Kuionya Jamuhuri kuacha kufungua Kesi Kubwa za kufikirika na kuliweka Taifa kwenye Hali ya Taharuki ambayo haipo.