Nkobe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 2,204
- 3,277
Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu Wanafanana katika yafuatayo
1. Wote hawaamini kuwa Yesu ni Masiha
2.Wote hawaamini katika utatu mtakatifu
3. Wote hawali Nguruwe
4. Wote wanaamini kuna majini, jin (Mwarabu), Shedim (Myahudi). Utofauti ni kwamba Myahudi hana ubia na majini,Mwarabu ana ubia na majini
5. Wote wanaamini kwenye visasi
6. Wote wanaamini kwenye aina ya chakula, Halal (Mwarabu), Kosher (Myahudi)
7. Mwarabu anasali akitizama Mecca, Myahudi akitizama Jerusalem
8. Imani zao zina rangi (Blue Myahudi), Kijani (Mwarabu)
9. Wote wanaamini kuna mfupa fulani kwenye mgongo ambao hauozi na siku ya mwisho utakua na kurudisha ombo la mtu husika, Mwarabu anauita Ajbu al Thanab
10. Wote wanaamini binadamu wa kawaida kuwa ndio Masiha wao, Mwarabu (Mohammad), Myahudi (Musa)
11. Wote wana chuki na Wakristu kwa sababu bado hawajampokea Yesu (ni vigumu kuona kanisa Uarabuni), Pia kuna sheria huko Uyahudi hawapendelei sana Makanisa
Kwa ujumla Myahudi na Mwarabu wote walimkataa Yesu, ndio maana wanakosa neema na upendo wa Yesu na matokeo yake wamebaki kuuwana kwa visasi.
NB:Sijataja dini, hapa ni Mwarabu vs Myahudi
NB: Mwarabu halisi ni Msaudi Arabia, Myahudi halisi ni Yule ambae hajachanganya damu na wazungu