Imani ya Mwarabu na Myahudi zinafanana kwa karibu sana, wote walimkataa Yesu ndio maana laana ya damu inawasumbua

Usichokijua karibia asilimia 80 saudi arabia ni wakristo,,kanzu ni mavazi tu kule kwahiyo usione kila mwarabu mvaa kanzu ni muislamu
BRO UNATAFUTA VITA NA WATU WA VISIWANI...(WANA WAONA WAARABU NI BABU NA BIBI ZAO)
TAKWIMU ZA WASAUDI ARABIA ZA 2020 ZINAONYESHA:
85-90% ni waSunni,na
10-12% ni waShia.
 
Kumkana Yesu ni kumkataa mafundisho yake. Mfano Yeye anasema atasurubiwa, Mwarabu anasema hukusurubiwa, Yesu anasema wabatizeni kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, Mwarabu anasema tunamtambua Mmoja tu, wewe na Roho mtakatifu hatukutambui, Yesu anasema kulala na mwanamke zaidi ya mmoja ni uzinzi kama uzinzi mwingine, Mwarabu anasema mimi nitalala na wanawake hata wanne
Tuonyeshe sehemu yesu alikataza kuoa zaidi ya mke mmoja?
 
Muasisi wa ukiristo ni paulo
Kabla ya Paulo ,tayari kulikuwa na wakristo(ukristo) kabla yake,na Paulo ni mmoja wa wapinga kristo wakubwa hata kabla uislamu haujawepo duniani.

Yaani mnachokifanya waislamu kuupinga ukristo kwa nguvu zote,Paulo alikifanya mara mia zaidi yenu,zaidi ya Quran.

Kasome matendo ya mitume upate elimu zaidi,acha kukariri. Inaeleweka waislamu adui yenu mkubwa ni Paulo. Ila angalau msimsingizie katika hili la kuanzisha ukristo.

Yesu aliitwa kristo au masihi yaani mpakwa mafuta na wale wa(li)naofuata Mafundisho yake wanaitwa wa'kristo'..yaani wanafunzi wa yule aliyeitwa kristo au wapakwa mafuta,ambaye wayahudi wenzake walimkataa na kumsuribisha kwa sababu Mafundisho yake mengi yalipingana na kitabu chao kitakatifu Torati ya Musa (ambayo hadi Leo ndiyo msingi wa dini ya uyahudi). Na Kuna muda walisema anakufuru kwakujiita Mungu au mwana wa Mungu na atalibomoa na kulijenga helaku la Suleiman ndani ya siku 3 ,akafa na kuzikwa na mtu aliyeitwa Yusufu tajiri kutoka alimataya ambaye alikuwa mwanafunzi wa Mafundisho ya Yesu kwa siri,kisha baada ya kuzikwa ijumaa akafufuka baada ya siku tatu kama vile Yona(yunus) alivyotoka kwenye tumbo la samaki baada ya siku tatu.

Ufufuko wa Yesu ndiyo msingi mkuu wa UKRISTO.Bila ufufuko hakuna ukristo.

so,

Nje ya hapo Paulo hajaleta ukristo,bali aliukuta,akaupiga vita,kisha kwa neema ya Mungu akaishia kuwa mkristo kuliko wakristo walioishi nae Yesu (wanafunzi wake).

Focus.
 
Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu Wanafanana katika yafuatayo
1. Wote hawaamini kuwa Yesu ni Masiha
2.Wote hawaamini katika utatu mtakatifu
3. Wote hawali Nguruwe
4. Wote wanaamini katika majini, jin (Mwarabu), Shedim (Myahudi)
5. Wote wanaamini kwenye visasi
6. Wote wanaamini kwenye aina ya chakula, Halal (Mwarabu), Kosher (Myahudi)
7. Mwarabu anasali akitizama Mecca, Myahudi akitizama Jerusalem
8. Imani zao zina rangi (Blue Myahudi), Kijani (Mwarabu)
9. Wote wanaamini kuna mfupa fulani kwenye mgongo ambao hauozi na siku ya mwisho utakua na kurudisha ombo la mtu husika, Mwarabu anauita Ajbu al Thanab
10. Wote wanaamini binadamu wa kawaida kuwa ndio Masiha wao, Mwarabu (Mohammad), Myahudi (Musa)
11. Wote wana chuki na Wakristu kwa sababu bado hawajampokea Yesu (ni vigumu kuona kanisa Uarabuni), Pia kuna sheria huko Uyahudi hawapendelei sana Makanisa

Kwa ujumla Myahudi na Mwarabu wote walimkataa Yesu, ndio maana wanakosa neema na upendo wa Yesu na matokeo yake wamebaki kuuwana kwa visasi.

NB: Mwarabu halisi ni Msaudi Arabia, Myahudi halisi ni Yule ambae hajachanganya damu na wazungu
Pumba tupu.
 
إِذْ قَالَتِ الْمَلَائِكَةُ يَا مَرْيَمُ إِنَّ اللَّهَ يُبَشِّرُكِ بِكَلِمَةٍ مِنْهُ اسْمُهُ الْمَسِيحُ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ وَجِيهًا فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ وَمِنَ الْمُقَرَّبِينَ
Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu). QUR'AN 3:45
Usiwe unajitia ujuaji kwenye mambo usiyoyajua,yesu kacheza na majini akawa anajua namna ya kuyafukuza
Tatizo la uislamu ni Moja tu, nje ya uislamu wenyewe,hakuna sehemu Wala maandiko ambapo yanakiri kuhusu madai yenu.

Hapo ndipo shida inapoanzia.
 
Usichokijua karibia asilimia 80 saudi arabia ni wakristo,,kanzu ni mavazi tu kule kwahiyo usione kila mwarabu mvaa kanzu ni muislamu
Mkuu,

Hizi data zako siyo kweli.

Saudi Arabia ambako ndiyo kitovu cha dini ya uislamu,yenye wakazi zaidi ya milioni 36,wakristo ni asilimia chini ya 4 tu.

Vinginevyo njoo na data.
Screenshot_20240406-232343.png
Screenshot_20240404-211022.png
 
Tuonyeshe sehemu yesu alikataza kuoa zaidi ya mke mmoja?
Kuchovya kwa mwanamke huyu usiku wa leo, halafu kesho unachovya kwa mwanamke mwingine ni uhuni mkuu, wala haiitaji mjadala. Hapo hakuna ndoa maana kati ya hao wawili hakuna hata mmoja unaweza ukamtamkia kuwa unampenda maana atakuuliza kama unanipenda mbona una mwanamke mwingine?

Marko 10:6-9
6 Lakini tangu mwanzo wa uumbaji, ‘Mungu aliwaumba mume na mke. 7 Na kwa sababu hii mume atamwacha baba yake na mama yake na hao wawili, watakuwa mwili mmoja.’ 8 Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja. 9 Basi, alichokiun ganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”

Marko 10:6-9​

Kwahiyo nabii ibrahim, suleiman wote walikuwa hawampendezi mungu?
 
Kuna video nimeona mzee wa upako anasema watu hawaja mwelewa vizur yesu amani na rehma iwe juu yake

Kwamba yesu alisema yule amwachae mkewe na kufuata mwanamke mwengine anazini,,ishu ni kumwacha,,,lakini sio kuongeza mke mwingine

Huyo ni mzee wa upako
 
Biblia ina mistari zaidi ya 30 inayoongelea ndoa ya mke mmoja
 
Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu Wanafanana katika yafuatayo
1. Wote hawaamini kuwa Yesu ni Masiha
2.Wote hawaamini katika utatu mtakatifu
3. Wote hawali Nguruwe
4. Wote wanaamini katika majini, jin (Mwarabu), Shedim (Myahudi)
5. Wote wanaamini kwenye visasi
6. Wote wanaamini kwenye aina ya chakula, Halal (Mwarabu), Kosher (Myahudi)
7. Mwarabu anasali akitizama Mecca, Myahudi akitizama Jerusalem
8. Imani zao zina rangi (Blue Myahudi), Kijani (Mwarabu)
9. Wote wanaamini kuna mfupa fulani kwenye mgongo ambao hauozi na siku ya mwisho utakua na kurudisha ombo la mtu husika, Mwarabu anauita Ajbu al Thanab
10. Wote wanaamini binadamu wa kawaida kuwa ndio Masiha wao, Mwarabu (Mohammad), Myahudi (Musa)
11. Wote wana chuki na Wakristu kwa sababu bado hawajampokea Yesu (ni vigumu kuona kanisa Uarabuni), Pia kuna sheria huko Uyahudi hawapendelei sana Makanisa

Kwa ujumla Myahudi na Mwarabu wote walimkataa Yesu, ndio maana wanakosa neema na upendo wa Yesu na matokeo yake wamebaki kuuwana kwa visasi.

NB: Mwarabu halisi ni Msaudi Arabia, Myahudi halisi ni Yule ambae hajachanganya damu na wazungu
"Imani ya Marabu" ndiyo ipi hiyo na wapi ilimkataa Yesu?

Ushahidi.
 
Kumkana Yesu ni kumkataa mafundisho yake. Mfano Yeye anasema atasurubiwa, Mwarabu anasema hukusurubiwa, Yesu anasema wabatizeni kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, Mwarabu anasema tunamtambua Mmoja tu, wewe na Roho mtakatifu hatukutambui, Yesu anasema kulala na mwanamke zaidi ya mmoja ni uzinzi kama uzinzi mwingine, Mwarabu anasema mimi nitalala na wanawake hata wanne
Hayo ni mafundisho ya paulo na si mafundisho ya yesu acha kumlisha maneno.
 
Kuchovya kwa mwanamke huyu usiku wa leo, halafu kesho unachovya kwa mwanamke mwingine ni uhuni mkuu, wala haiitaji mjadala. Hapo hakuna ndoa maana kati ya hao wawili hakuna hata mmoja unaweza ukamtamkia kuwa unampenda maana atakuuliza kama unanipenda mbona una mwanamke mwingine?

Marko 10:6-9
6 Lakini tangu mwanzo wa uumbaji, ‘Mungu aliwaumba mume na mke. 7 Na kwa sababu hii mume atamwacha baba yake na mama yake na hao wawili, watakuwa mwili mmoja.’ 8 Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja. 9 Basi, alichokiun ganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”

Hayo ni kwa mujibu wa hisia na matamanio yako na si kwamujibu wa maandiko.
Ingekuwa haramu ingeandikwa kuwa ni haramu kama maovu mengine yalivyo haramishwa kwa kuandikwa.
 
Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu Wanafanana katika yafuatayo
1. Wote hawaamini kuwa Yesu ni Masiha
2.Wote hawaamini katika utatu mtakatifu
3. Wote hawali Nguruwe
4. Wote wanaamini katika majini, jin (Mwarabu), Shedim (Myahudi)
5. Wote wanaamini kwenye visasi
6. Wote wanaamini kwenye aina ya chakula, Halal (Mwarabu), Kosher (Myahudi)
7. Mwarabu anasali akitizama Mecca, Myahudi akitizama Jerusalem
8. Imani zao zina rangi (Blue Myahudi), Kijani (Mwarabu)
9. Wote wanaamini kuna mfupa fulani kwenye mgongo ambao hauozi na siku ya mwisho utakua na kurudisha ombo la mtu husika, Mwarabu anauita Ajbu al Thanab
10. Wote wanaamini binadamu wa kawaida kuwa ndio Masiha wao, Mwarabu (Mohammad), Myahudi (Musa)
11. Wote wana chuki na Wakristu kwa sababu bado hawajampokea Yesu (ni vigumu kuona kanisa Uarabuni), Pia kuna sheria huko Uyahudi hawapendelei sana Makanisa

Kwa ujumla Myahudi na Mwarabu wote walimkataa Yesu, ndio maana wanakosa neema na upendo wa Yesu na matokeo yake wamebaki kuuwana kwa visasi.

NB: Mwarabu halisi ni Msaudi Arabia, Myahudi halisi ni Yule ambae hajachanganya damu na wazungu
Umejitahidi kuchambua, lakini kwa wayahudi itabidi utuletee uthibitisho kwenye kitabu chao. Mfano wao kuamini majini. Ila kwa Waislam watu tumeisha ichambua Quran yao na Hadithi za Mtume, ni kwambie tu hakuna kitabu cha hovyo kama hiki. Kina a lot of inconsistencies, kimejaa mazungumzo ya sex na zaidi ya hayo kitabu hicho kimemzushia uongo Yesu Christo kiasi kwamba one can conclude Kuwa Mohammad na Allah wake ndiyo wale "Mpinga Kristo"
Quran 2:29 at inasema Allah alianza kwanza kuumba Dunia, ndiyo baadae akaenda kuumba mbingu!!
Quran 17:1 inawaonyesha Allah na Mohammad kuwa wote ni sawa kwenye kufanya maamuzi
Pia Waislamu wakichochewa na Quran wamekuwa ndiyo tishio la Amani duniani; wakati kwa wayahudi siyo hivyo

View: https://x.com/RadioGenoa/status/1790470651741892633
 
Back
Top Bottom