BRO UNATAFUTA VITA NA WATU WA VISIWANI...(WANA WAONA WAARABU NI BABU NA BIBI ZAO)Usichokijua karibia asilimia 80 saudi arabia ni wakristo,,kanzu ni mavazi tu kule kwahiyo usione kila mwarabu mvaa kanzu ni muislamu
Inamaana hizo ni takwimu za waislamu wenyewe,,,vp khs waislamu kwa wakristoBRO UNATAFUTA VITA NA WATU WA VISIWANI...(WANAWAONA WAARABU NU BABU NA BIBI ZAO)
TAKWIMU ZA WASAUDI ARABIA ZA 2020 ZINAONYESHA:
85-90% ni waSunni,na
10-12% ni waShia.
"Question" Why is Jesus called Isa in the Quran when the Arabic equivalent of Jesus is Yesu?Waarabu wakaona isiwe tabu wakajitengenezea Yesu wao wa magumashi wakamwita isaa wakasema kazakiwa chini ya tende
Tuonyeshe sehemu yesu alikataza kuoa zaidi ya mke mmoja?Kumkana Yesu ni kumkataa mafundisho yake. Mfano Yeye anasema atasurubiwa, Mwarabu anasema hukusurubiwa, Yesu anasema wabatizeni kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, Mwarabu anasema tunamtambua Mmoja tu, wewe na Roho mtakatifu hatukutambui, Yesu anasema kulala na mwanamke zaidi ya mmoja ni uzinzi kama uzinzi mwingine, Mwarabu anasema mimi nitalala na wanawake hata wanne
Kabla ya Paulo ,tayari kulikuwa na wakristo(ukristo) kabla yake,na Paulo ni mmoja wa wapinga kristo wakubwa hata kabla uislamu haujawepo duniani.Muasisi wa ukiristo ni paulo
Pumba tupu.Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu Wanafanana katika yafuatayo
1. Wote hawaamini kuwa Yesu ni Masiha
2.Wote hawaamini katika utatu mtakatifu
3. Wote hawali Nguruwe
4. Wote wanaamini katika majini, jin (Mwarabu), Shedim (Myahudi)
5. Wote wanaamini kwenye visasi
6. Wote wanaamini kwenye aina ya chakula, Halal (Mwarabu), Kosher (Myahudi)
7. Mwarabu anasali akitizama Mecca, Myahudi akitizama Jerusalem
8. Imani zao zina rangi (Blue Myahudi), Kijani (Mwarabu)
9. Wote wanaamini kuna mfupa fulani kwenye mgongo ambao hauozi na siku ya mwisho utakua na kurudisha ombo la mtu husika, Mwarabu anauita Ajbu al Thanab
10. Wote wanaamini binadamu wa kawaida kuwa ndio Masiha wao, Mwarabu (Mohammad), Myahudi (Musa)
11. Wote wana chuki na Wakristu kwa sababu bado hawajampokea Yesu (ni vigumu kuona kanisa Uarabuni), Pia kuna sheria huko Uyahudi hawapendelei sana Makanisa
Kwa ujumla Myahudi na Mwarabu wote walimkataa Yesu, ndio maana wanakosa neema na upendo wa Yesu na matokeo yake wamebaki kuuwana kwa visasi.
NB: Mwarabu halisi ni Msaudi Arabia, Myahudi halisi ni Yule ambae hajachanganya damu na wazungu
Tatizo la uislamu ni Moja tu, nje ya uislamu wenyewe,hakuna sehemu Wala maandiko ambapo yanakiri kuhusu madai yenu.إِذْ قَالَتِ الْمَلَائِكَةُ يَا مَرْيَمُ إِنَّ اللَّهَ يُبَشِّرُكِ بِكَلِمَةٍ مِنْهُ اسْمُهُ الْمَسِيحُ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ وَجِيهًا فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ وَمِنَ الْمُقَرَّبِينَ
Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu). QUR'AN 3:45
Usiwe unajitia ujuaji kwenye mambo usiyoyajua,yesu kacheza na majini akawa anajua namna ya kuyafukuza
Mkuu,Usichokijua karibia asilimia 80 saudi arabia ni wakristo,,kanzu ni mavazi tu kule kwahiyo usione kila mwarabu mvaa kanzu ni muislamu
Mbona husemi juu ya ottoman war ilivyo ongoza kumwaga damuRecord ya kumwaga damu duniani inashikiliwa na Wakristo:
1. WWI
2.WWII
3. Crusades
Laana ilikuwepo ama? Vipi huko Ukraine
Kuchovya kwa mwanamke huyu usiku wa leo, halafu kesho unachovya kwa mwanamke mwingine ni uhuni mkuu, wala haiitaji mjadala. Hapo hakuna ndoa maana kati ya hao wawili hakuna hata mmoja unaweza ukamtamkia kuwa unampenda maana atakuuliza kama unanipenda mbona una mwanamke mwingine?Tuonyeshe sehemu yesu alikataza kuoa zaidi ya mke mmoja?
Kwahiyo nabii ibrahim, suleiman wote walikuwa hawampendezi mungu?Kuchovya kwa mwanamke huyu usiku wa leo, halafu kesho unachovya kwa mwanamke mwingine ni uhuni mkuu, wala haiitaji mjadala. Hapo hakuna ndoa maana kati ya hao wawili hakuna hata mmoja unaweza ukamtamkia kuwa unampenda maana atakuuliza kama unanipenda mbona una mwanamke mwingine?
Marko 10:6-9
6 Lakini tangu mwanzo wa uumbaji, ‘Mungu aliwaumba mume na mke. 7 Na kwa sababu hii mume atamwacha baba yake na mama yake na hao wawili, watakuwa mwili mmoja.’ 8 Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja. 9 Basi, alichokiun ganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”
Biblia ina mistari zaidi ya 30 inayoongelea ndoa ya mke mmojaKuna video nimeona mzee wa upako anasema watu hawaja mwelewa vizur yesu amani na rehma iwe juu yake
Kwamba yesu alisema yule amwachae mkewe na kufuata mwanamke mwengine anazini,,ishu ni kumwacha,,,lakini sio kuongeza mke mwingine
Huyo ni mzee wa upako
"Imani ya Marabu" ndiyo ipi hiyo na wapi ilimkataa Yesu?Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu Wanafanana katika yafuatayo
1. Wote hawaamini kuwa Yesu ni Masiha
2.Wote hawaamini katika utatu mtakatifu
3. Wote hawali Nguruwe
4. Wote wanaamini katika majini, jin (Mwarabu), Shedim (Myahudi)
5. Wote wanaamini kwenye visasi
6. Wote wanaamini kwenye aina ya chakula, Halal (Mwarabu), Kosher (Myahudi)
7. Mwarabu anasali akitizama Mecca, Myahudi akitizama Jerusalem
8. Imani zao zina rangi (Blue Myahudi), Kijani (Mwarabu)
9. Wote wanaamini kuna mfupa fulani kwenye mgongo ambao hauozi na siku ya mwisho utakua na kurudisha ombo la mtu husika, Mwarabu anauita Ajbu al Thanab
10. Wote wanaamini binadamu wa kawaida kuwa ndio Masiha wao, Mwarabu (Mohammad), Myahudi (Musa)
11. Wote wana chuki na Wakristu kwa sababu bado hawajampokea Yesu (ni vigumu kuona kanisa Uarabuni), Pia kuna sheria huko Uyahudi hawapendelei sana Makanisa
Kwa ujumla Myahudi na Mwarabu wote walimkataa Yesu, ndio maana wanakosa neema na upendo wa Yesu na matokeo yake wamebaki kuuwana kwa visasi.
NB: Mwarabu halisi ni Msaudi Arabia, Myahudi halisi ni Yule ambae hajachanganya damu na wazungu
Nimesema aliyosema mzee wa upako ambaye ni mjuvi wa biblia,,,hayo mengine mie sijuiBiblia ina mistari zaidi ya 30 inayoongelea ndoa ya mke mmoja
EXactlyNimesema aliyosema mzee wa upako ambaye ni mjuvi wa biblia,,,hayo mengine mie sijui
Hayo ni mafundisho ya paulo na si mafundisho ya yesu acha kumlisha maneno.Kumkana Yesu ni kumkataa mafundisho yake. Mfano Yeye anasema atasurubiwa, Mwarabu anasema hukusurubiwa, Yesu anasema wabatizeni kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, Mwarabu anasema tunamtambua Mmoja tu, wewe na Roho mtakatifu hatukutambui, Yesu anasema kulala na mwanamke zaidi ya mmoja ni uzinzi kama uzinzi mwingine, Mwarabu anasema mimi nitalala na wanawake hata wanne
Hayo ni kwa mujibu wa hisia na matamanio yako na si kwamujibu wa maandiko.Kuchovya kwa mwanamke huyu usiku wa leo, halafu kesho unachovya kwa mwanamke mwingine ni uhuni mkuu, wala haiitaji mjadala. Hapo hakuna ndoa maana kati ya hao wawili hakuna hata mmoja unaweza ukamtamkia kuwa unampenda maana atakuuliza kama unanipenda mbona una mwanamke mwingine?
Marko 10:6-9
6 Lakini tangu mwanzo wa uumbaji, ‘Mungu aliwaumba mume na mke. 7 Na kwa sababu hii mume atamwacha baba yake na mama yake na hao wawili, watakuwa mwili mmoja.’ 8 Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja. 9 Basi, alichokiun ganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”
Umejitahidi kuchambua, lakini kwa wayahudi itabidi utuletee uthibitisho kwenye kitabu chao. Mfano wao kuamini majini. Ila kwa Waislam watu tumeisha ichambua Quran yao na Hadithi za Mtume, ni kwambie tu hakuna kitabu cha hovyo kama hiki. Kina a lot of inconsistencies, kimejaa mazungumzo ya sex na zaidi ya hayo kitabu hicho kimemzushia uongo Yesu Christo kiasi kwamba one can conclude Kuwa Mohammad na Allah wake ndiyo wale "Mpinga Kristo"Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu Wanafanana katika yafuatayo