Imani ya Mwarabu na Myahudi zinafanana kwa karibu sana, wote walimkataa Yesu ndio maana laana ya damu inawasumbua

Picha za kuchora, hata mimi i can nikachora then nikawaaminisha na mlivyo wepesi wa kuamini!!!!!

Hivi bado tu kuna binadamu hapa Tanzania anaamini hayo mavitabu ya mashuleni! Na huko makanisani huwa mnaaminishwa nini kuhusu waarabu/waislamu?
Sishangai uwezo wako wa kufikiri, Elimu Dunia kwenu ni haramu.
 
Cha kushangaza wameyakalia maandiko bila ya kuyaelewa mpaka watafsitiwe na wayunani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…