sawa ngoja tuone...Simba haipiti kamwe na haito tokeaa!!! Mtakumbuka comment yangu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Njaa inacheza mpira na inaongoza ligi kwa tofauti ya point17,mbumbumbu ni mbumbumbu tu hawezi ponaKinachowatesa vyura ni njaa...mna njaa hadi matakoni[emoji23][emoji23]
#SimbaNguvuMoja
Mnatia huruma sana yani timu ina almost miaka 90 ila bado inatembeza bakuli!!! Huo ni uzwazwa eti unajisifu ligi unaongoza😂😂kwani hiyo milioni 80 ya ubingwa itawasaidia nini labda? Bakuli liko palepale mzee acha kuwewezeka halafu muomba msaada hachagui mnatakiwa mtuombe tuwasaidie maana mnapumulia mashine. Pole sana mtani.Njaa inacheza mpira na inaongoza ligi kwa tofauti ya point17,mbumbumbu ni mbumbumbu tu hawezi pona
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana imaitwa timu ya WananchiMnatia huruma sana yani timu ina almost miaka 90 ila bado inatembeza bakuli!!! Huo ni uzwazwa eti unajisifu ligi unaongoza[emoji23][emoji23]kwani hiyo milioni 80 ya ubingwa itawasaidia nini labda? Bakuli liko palepale mzee acha kuwewezeka halafu muomba msaada hachagui mnatakiwa mtuombe tuwasaidie maana mnapumulia mashine. Pole sana mtani.
Uwanja wa nyumbani ndipo mahali sahihi pa kupatia matokeo...zaidi ya hapo nothing..but nina imani Simba haitaboronga mechi za nyumbaniwafanye kama AS VITA au Nkana FC ukienda kwao lazima ukae point tatu ni muhimu sana.uwamja unajaza watu 60,000 lazima waarabu wapagawe
ahahahahaa uyu jamaa[emoji16][emoji16][emoji16]Labda itapita kwenye kundi la whatsapp