Imani Yangu: Simba Sc Itapita kwenye kundi lake kwenye CCL

Imani Yangu: Simba Sc Itapita kwenye kundi lake kwenye CCL

Njaa inacheza mpira na inaongoza ligi kwa tofauti ya point17,mbumbumbu ni mbumbumbu tu hawezi pona

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnatia huruma sana yani timu ina almost miaka 90 ila bado inatembeza bakuli!!! Huo ni uzwazwa eti unajisifu ligi unaongoza😂😂kwani hiyo milioni 80 ya ubingwa itawasaidia nini labda? Bakuli liko palepale mzee acha kuwewezeka halafu muomba msaada hachagui mnatakiwa mtuombe tuwasaidie maana mnapumulia mashine. Pole sana mtani.
 
Mnatia huruma sana yani timu ina almost miaka 90 ila bado inatembeza bakuli!!! Huo ni uzwazwa eti unajisifu ligi unaongoza[emoji23][emoji23]kwani hiyo milioni 80 ya ubingwa itawasaidia nini labda? Bakuli liko palepale mzee acha kuwewezeka halafu muomba msaada hachagui mnatakiwa mtuombe tuwasaidie maana mnapumulia mashine. Pole sana mtani.
Ndiyo maana imaitwa timu ya Wananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wafanye kama AS VITA au Nkana FC ukienda kwao lazima ukae point tatu ni muhimu sana.uwamja unajaza watu 60,000 lazima waarabu wapagawe
Uwanja wa nyumbani ndipo mahali sahihi pa kupatia matokeo...zaidi ya hapo nothing..but nina imani Simba haitaboronga mechi za nyumbani

#SimbaNguvuMoja
 
Back
Top Bottom