Imani za kishirikina haziwezi fua dafu ukiwa unatoa fungu la kumi, Je hivi ni kwanini?

Imani za kishirikina haziwezi fua dafu ukiwa unatoa fungu la kumi, Je hivi ni kwanini?

Kanuni kutoka kwa Mungu kwa wanadamu ili mwanadamu aweze kufanikiwa (kumiliki mali ,baraka,kufanikiwa,kupokea ) ni kupitia kutoa.
MKONO UNAOTOA ndio unaobarikiwa zaidi.
Na hii kanuni hata ufalme wa giza unatumia katika kuiba baraka za watoto wa Mungu kupitia kutoa misaada yenye kafara iliyonuiziwa (mfano unaweza kupewa zawadi,chakula,kulishwa kwenye sherehe mfano kufuturisha,kualikwa chakula vinywaji kwwnye sherhe au kupewa msaada au zawadi fulani)Lengo likiwa yule ALIYETOA NDIYE ATAKAYEBARIKIWA ZAIDI KULIKO YULE ALIYEPOKEA.
ndio maana wakati mwingine si vizuri sana kupokea vya bure au msaada ambao huelewi lengo lake.Hakuna cha bure.Hakuna msaada usio na lengo.Aidha zuri kupata thawabu kutoka kwa Mungu ,kupata baraka zaidi.Au msaada wenye lengo baya kutoka ufalme wa giza.
KUTOA SADAKA kwa Mungu kuna baraka nyingi zaidi ni ahadi ya Mungu ni kanuni ya kumiliki ,ya kupokea ipo katika kutoa sadaka,ikiwemo kusaidia masikini,wajane ,wanyonge na wasiojiweza.
HII KANUNI INATUMIKA KOTE ULIMWENGUBWA NURU NA WA GIZA MA INAFANYA KAZI.
 
Mada nzuri sana mkuu, ukitoa fungu la kumi ni umetoa sadaka, maana yake 10% ya Faida yako unatoa gawio kwa mungu wako. Sasa hapo maana yake ni kwamba mungu naye ni moja ya wammiliki wa hiyo biashara maana kila ipatikanapo faida na yeye upewa. Hakuna na haitotokea kamwe mtu ama kitu kibaya kuja kujaribu kuharibu biashara ambayo mungu ni mmoja ya wamiliki, faida ya kutoa fungu la kumi sio hiyo tu zipo nyingi sana. I recommend tafuta masomo ya mtu mmoja anaitwa appostle Joshua selman, utajifunza mengi sana.
 
Tusaidie ushuhuda tafadhali
Nina mengi ila nakupa ushuhuda mdogo sana.
Nilikuwa na madeni ambayo chanzo chake ni uchawi/roho ya chumaulete. Coworkers nao ni washirikina na wamepigana kuniharibu, na taarifa zote napata kupitia ndoto/ulimwengu wa roho ambazo ni za uhalisia, na mwishowe kupata matokeo yake ktk ulimwengu wa mwili. I was suffer kinyamaaa!
Uzuri nilikuwa natoa taarifa kwa kulalamika kwa mchungaji na viongozi wengine wa dhehebu langu, so mchungaji akanishauri kuvunja madhabahu walizojenga maadui zangu kwa kutoa sadaka. Baada ya hapo akanishauri kuanza kutoa 10%. Imagine nina madeni na ninapaswa kutoa 10%! Ni ngumu sana mzee ila ilinibidi nitumie imani ya KIMUNGU, nilitoa 10% kabla sijatumia pesa yoyote ktk mshahara wangu even kulipa deni! Guess what happen? Baadhi wafanyakazi wenzangu wakaanza kunikwepa na mwingine kuniita mchawi na mambo maovu yakaanza kuwarudia wao.
 
Kanuni kutoka kwa Mungu kwa wanadamu ili mwanadamu aweze kufanikiwa (kumiliki mali ,baraka,kufanikiwa,kupokea ) ni kupitia kutoa.
MKONO UNAOTOA ndio unaobarikiwa zaidi.
Na hii kanuni hata ufalme wa giza unatumia katika kuiba baraka za watoto wa Mungu kupitia kutoa misaada yenye kafara iliyonuiziwa (mfano unaweza kupewa zawadi,chakula,kulishwa kwenye sherehe mfano kufuturisha,kualikwa chakula vinywaji kwwnye sherhe au kupewa msaada au zawadi fulani)Lengo likiwa yule ALIYETOA NDIYE ATAKAYEBARIKIWA ZAIDI KULIKO YULE ALIYEPOKEA.
ndio maana wakati mwingine si vizuri sana kupokea vya bure au msaada ambao huelewi lengo lake.Hakuna cha bure.Hakuna msaada usio na lengo.Aidha zuri kupata thawabu kutoka kwa Mungu ,kupata baraka zaidi.Au msaada wenye lengo baya kutoka ufalme wa giza.
KUTOA SADAKA kwa Mungu kuna baraka nyingi zaidi ni ahadi ya Mungu ni kanuni ya kumiliki ,ya kupokea ipo katika kutoa sadaka,ikiwemo kusaidia masikini,wajane ,wanyonge na wasiojiweza.
HII KANUNI INATUMIKA KOTE ULIMWENGUBWA NURU NA WA GIZA MA INAFANYA KAZI.
Mkono unaotoa ndio unaobarikiwa kuliko unaopokea(hii ni kanuni,blessed is the hand that giveth than the one that taketh..)
 
Attachments

  • images (36).jpeg
    images (36).jpeg
    35.9 KB · Views: 5
  • images (35).jpeg
    images (35).jpeg
    26.8 KB · Views: 5
  • images (40).jpeg
    images (40).jpeg
    11.4 KB · Views: 5
  • F1bUsUoXwAAzm6O.jpg_large.jpg
    F1bUsUoXwAAzm6O.jpg_large.jpg
    145.5 KB · Views: 4
  • images (34).jpeg
    images (34).jpeg
    5.5 KB · Views: 4
  • 1280x1280.jpeg
    1280x1280.jpeg
    11.9 KB · Views: 3
Nimesikia kua ukiwa na biashara fulani ukatolea zaka mtaji wako na baada ya hapo ukawa mwaminifu kulipa fungu la kumi katika faida unazovuna.. hapa UTAKUA UMEMALIZA MZIZI WA FITINA WA CHUMA ULETE. hivi hii inabe applied kwa vipi wabobezi wa imani naomba ufafanuzi.
Yale Yale tu, Mala, nunua maduta ya, upako, chumvi, maji na upuuzi mwingine, nionyesheEron musk, Dangote, Bill gate anapotoa fungu LA kumi
 
Nimesikia kua ukiwa na biashara fulani ukatolea zaka mtaji wako na baada ya hapo ukawa mwaminifu kulipa fungu la kumi katika faida unazovuna.. hapa UTAKUA UMEMALIZA MZIZI WA FITINA WA CHUMA ULETE. hivi hii inabe applied kwa vipi wabobezi wa imani naomba ufafanuzi.
Wacha uhuni wako hapa unadhani watu wote ni wapumbavu ni dini gsni hiyo iliyo sema hivyo kwanza hakuna fungu la kumi kwenye kanisa fungu la kumi lili kuwa ni sadaka ya hekalu moja tu la mungu ..siyo kanisa wala sinagogi.
 
YESU PEKEE NDIE AWALINDAE HASA WALE WATENDAO AMRI YAKE KUU AMBAYO NI UPENDO

MAANA UKIWA NA UPENDO UTATOA SADAKA KWA WAHITAJI VILEMA,MASIKINI,YATIMA NK HAPO NDIO UNAKUWA UMETOA FUNGU LA KUMI SEHEMU USAHIHI KWA USAHIHI.

UPENDO HUONEA HURUMA,UPENDO HUSAMEHE,UPENDO, UPENDO HUSITIRI
Uko vizuri kiasi, ni hivii...

Nikitoa mali yangu yote na kuwapa maskini, na tena nikiutoa mwili wangu uchomwe, kama sina upendo hiyo hainifai chochote.
Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, hajidai, wala hajivuni. Mwenye upendo hakosi adabu, hatafuti faida yake binafsi, wala hana wepesi wa hasira; haweki kumbukumbu ya mabaya, hafurahii uovu, bali hufurahia ukweli. Mwenye upendo huvumilia yote, huamini yote, na hustahimili yote.

Katika hili somo la upendo ni amri na halifanani na 10% sababu 10% ni ulinzi.
 
Nimesikia kua ukiwa na biashara fulani ukatolea zaka mtaji wako na baada ya hapo ukawa mwaminifu kulipa fungu la kumi katika faida unazovuna.. hapa UTAKUA UMEMALIZA MZIZI WA FITINA WA CHUMA ULETE. hivi hii inabe applied kwa vipi wabobezi wa imani naomba ufafanuzi.
Fungu la kumi la kuwapa hao matapeli wenu wa kichungaji na mapadre,Mungu awalipi kitu chochote maana ni mazuzu tu,
Zaka na sadaka saidia masikini moja kwa moja,
 
Back
Top Bottom