nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
- Thread starter
- #21
Hapana watu wanasisitiza kua ni kweli mkuu chunguza vizuriNi imani tu, havina uhusiano wowote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana watu wanasisitiza kua ni kweli mkuu chunguza vizuriNi imani tu, havina uhusiano wowote
Huwezi elewa..How?
Tafadhali Kam una marifa nielekeze mzaziHuwezi elewa..
KWA TABU NILIYO PATA NA KANISA HAKUNA LILICHO NISAIDIAPeleka kanisani
Mungu yupo MkuuNimesikia kua ukiwa na biashara fulani ukatolea zaka mtaji wako na baada ya hapo ukawa mwaminifu kulipa fungu la kumi katika faida unazovuna.. hapa UTAKUA UMEMALIZA MZIZI WA FITINA WA CHUMA ULETE. hivi hii inabe applied kwa vipi wabobezi wa imani naomba ufafanuzi.
Nina mengi ila nakupa ushuhuda mdogo sana.Tusaidie ushuhuda tafadhali
Mkono unaotoa ndio unaobarikiwa kuliko unaopokea(hii ni kanuni,blessed is the hand that giveth than the one that taketh..)Kanuni kutoka kwa Mungu kwa wanadamu ili mwanadamu aweze kufanikiwa (kumiliki mali ,baraka,kufanikiwa,kupokea ) ni kupitia kutoa.
MKONO UNAOTOA ndio unaobarikiwa zaidi.
Na hii kanuni hata ufalme wa giza unatumia katika kuiba baraka za watoto wa Mungu kupitia kutoa misaada yenye kafara iliyonuiziwa (mfano unaweza kupewa zawadi,chakula,kulishwa kwenye sherehe mfano kufuturisha,kualikwa chakula vinywaji kwwnye sherhe au kupewa msaada au zawadi fulani)Lengo likiwa yule ALIYETOA NDIYE ATAKAYEBARIKIWA ZAIDI KULIKO YULE ALIYEPOKEA.
ndio maana wakati mwingine si vizuri sana kupokea vya bure au msaada ambao huelewi lengo lake.Hakuna cha bure.Hakuna msaada usio na lengo.Aidha zuri kupata thawabu kutoka kwa Mungu ,kupata baraka zaidi.Au msaada wenye lengo baya kutoka ufalme wa giza.
KUTOA SADAKA kwa Mungu kuna baraka nyingi zaidi ni ahadi ya Mungu ni kanuni ya kumiliki ,ya kupokea ipo katika kutoa sadaka,ikiwemo kusaidia masikini,wajane ,wanyonge na wasiojiweza.
HII KANUNI INATUMIKA KOTE ULIMWENGUBWA NURU NA WA GIZA MA INAFANYA KAZI.
Yale Yale tu, Mala, nunua maduta ya, upako, chumvi, maji na upuuzi mwingine, nionyesheEron musk, Dangote, Bill gate anapotoa fungu LA kumiNimesikia kua ukiwa na biashara fulani ukatolea zaka mtaji wako na baada ya hapo ukawa mwaminifu kulipa fungu la kumi katika faida unazovuna.. hapa UTAKUA UMEMALIZA MZIZI WA FITINA WA CHUMA ULETE. hivi hii inabe applied kwa vipi wabobezi wa imani naomba ufafanuzi.
Wacha uhuni wako hapa unadhani watu wote ni wapumbavu ni dini gsni hiyo iliyo sema hivyo kwanza hakuna fungu la kumi kwenye kanisa fungu la kumi lili kuwa ni sadaka ya hekalu moja tu la mungu ..siyo kanisa wala sinagogi.Nimesikia kua ukiwa na biashara fulani ukatolea zaka mtaji wako na baada ya hapo ukawa mwaminifu kulipa fungu la kumi katika faida unazovuna.. hapa UTAKUA UMEMALIZA MZIZI WA FITINA WA CHUMA ULETE. hivi hii inabe applied kwa vipi wabobezi wa imani naomba ufafanuzi.
Mkono unaotoa ndio unaobarikiwa kuliko unaopokea(hii ni kanuni,blessed is the hand that giveth than the one that taketh..)
Uko vizuri kiasi, ni hivii...YESU PEKEE NDIE AWALINDAE HASA WALE WATENDAO AMRI YAKE KUU AMBAYO NI UPENDO
MAANA UKIWA NA UPENDO UTATOA SADAKA KWA WAHITAJI VILEMA,MASIKINI,YATIMA NK HAPO NDIO UNAKUWA UMETOA FUNGU LA KUMI SEHEMU USAHIHI KWA USAHIHI.
UPENDO HUONEA HURUMA,UPENDO HUSAMEHE,UPENDO, UPENDO HUSITIRI
Fungu la kumi la kuwapa hao matapeli wenu wa kichungaji na mapadre,Mungu awalipi kitu chochote maana ni mazuzu tu,Nimesikia kua ukiwa na biashara fulani ukatolea zaka mtaji wako na baada ya hapo ukawa mwaminifu kulipa fungu la kumi katika faida unazovuna.. hapa UTAKUA UMEMALIZA MZIZI WA FITINA WA CHUMA ULETE. hivi hii inabe applied kwa vipi wabobezi wa imani naomba ufafanuzi.
Maswali yako yamekaa kimwili zaidi!How?
ndio dini iliyosafi..udiakoniakusaidia maskini,yatima ma wasiojiweza ,wanyonge,ni moja ya sadaka pia