a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 611
- 993
Amina ,huyu ndiye Mungu mwenye nguvu,ninayemjua ninayemwabudu anavyofanya kazi,kwake hakuna linaloshindikana,na hiyo ndiyo nguvu ya sadaka madhabahu ya Mungu wa kweli.Mungu wetu ni MUNGU mwenye nguvu na uwezo anayeokoa,na kutusaidia.Ameen