Ok
.... Inaendelea..
Baada ya siku kwenda kama nilivyo simulia hapo mwanzo kwamba yule F" alikuwa na rafiki yake ambaye ni staff mwenzangu pale ofisin ,ingawa nilifanya Siri lakin yule staff (nimuite R")alinifuata na kunielezea amjuavyo F"kwamba hiv Bray baba unajua history ya huyu F"?
Nilimjibu simjui kiundan Zaid,akaanza kufunguka kwamba huyu F"ni mwenyej wa Songea (mngo ni) pia alikuwa ameolewa na ana watoto wawili ,,1)wa kike mwenye umr wa miaka 12 (2012 kwa kipind kile) na wa pili ana miaka 7.
Baada ya kuolewa alipewa tala ka na aliyekuwa mume wake.Sababu yeye F"anasema mama mkwe na mawif hawakumpenda ila baada ya talaka miez 3 mbele mzazi mwenza alipata ajali ya boda boda ya maajabu Iliyompelekea akatwe mguu na kuwa mlemavu.
Baada ya ajali inasemekana ndugu wa mume walimtuhumu huyu F ndio aliyeitengeneza hiyo ajal ,hivo ndugu wa mume walitaka kumzuru hivo wasamalia wema walimtorosha Ndipo alipokuja dar kuanza maisha upya........ inaendelea.