Imeandikwa: Usimuache mwanamke mchawi aishi! Nimeapa kulipiza kwa gharama yoyote

Imeandikwa: Usimuache mwanamke mchawi aishi! Nimeapa kulipiza kwa gharama yoyote

[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu amesomea sijui ndo udokta, amepata ajira na bado kakabidhiwa ukuu wa idara ya visigino
We acha tu umu jf kuna kira haina ya watu....😂😂😂😂
 
Wewe acha kutuzngua na stori ya kutunga kama ulkua huna mda wa kuaNdka s ungetulia tu vp babu...? Unatafuta umaarufu chief..?
 
Um
Nafikiri mods wangeweka jukwaa specific la story za "itaendelea". Kwa maana wanapitia almost nyuzi zote, so zikiekwa huko waweke na automatic updates. Ikiendelea tu, watu wanajulishwa.
Tena waanze na yule wa lindi na wengine wote wenye tabia ya "itaendelea"Umenena

Ndio huyo mama nuru ?
Nuru alikuwa ni replacement ya huyo mke wa kisabato. Bahati mbaya Nuru naye kishakuwa replaced, huwa sivumilii ujinga mimi.
 
2011 bajaji Zilikua Zishajaa eeh?? Naomba Mnikumbushe... Nazeeka sasa Kumbukumbu Zinapotea
 
Ok
.... Inaendelea..
Baada ya siku kwenda kama nilivyo simulia hapo mwanzo kwamba yule F" alikuwa na rafiki yake ambaye ni staff mwenzangu pale ofisin ,ingawa nilifanya Siri lakin yule staff (nimuite R")alinifuata na kunielezea amjuavyo F"kwamba hiv Bray baba unajua history ya huyu F"?
Nilimjibu simjui kiundan Zaid,akaanza kufunguka kwamba huyu F"ni mwenyej wa Songea (mngo ni) pia alikuwa ameolewa na ana watoto wawili ,,1)wa kike mwenye umr wa miaka 12 (2012 kwa kipind kile) na wa pili ana miaka 7.
Baada ya kuolewa alipewa tala ka na aliyekuwa mume wake.Sababu yeye F"anasema mama mkwe na mawif hawakumpenda ila baada ya talaka miez 3 mbele mzazi mwenza alipata ajali ya boda boda ya maajabu Iliyompelekea akatwe mguu na kuwa mlemavu.
Baada ya ajali inasemekana ndugu wa mume walimtuhumu huyu F ndio aliyeitengeneza hiyo ajal ,hivo ndugu wa mume walitaka kumzuru hivo wasamalia wema walimtorosha Ndipo alipokuja dar kuanza maisha upya........ inaendelea.
@Bray baba Mkuu endelea basi na story, wataalam wa saikolojia tunasubiri tukupe-ushauri..!
 
Back
Top Bottom