Imebaki miaka 18 mafuta kuisha United Arab Emirates

Baada ya sakata kuendelea kupamba moto huku na huku. Imenibidi nianze kuifuatilia United Arab Emirates. Nimefuatilia historia yao na mimefuatilia uchumi wao.

Chanzo kikubwa cha mapato katika nchi yao ni mafuta. Hiki ndicho chanzo kikubwa cha mapato.

Sasa cha kushangaza kabisa ni kutokana na mafuta kuisha. Kulingana na estimate za kitaalam mafuta hayo ndani ya miaka 18 yatakuwa yameisha.

Ka nchi ni kadogo na jangwa kila kona. Wanaona kabisa anguko lao linakuja kwa kasi.

Dalili za Nauru zinawanukia kwa kasi. Sasa wanatafuta kwa nguvu zote na kwa hila zote makoloni au ardhi katika nchi zingine.

Wanajaribu kutengeneza artificial tourism na vitu vingine vingi ili kuweza kujinusuru. Lakini kusema kweli anguko lao li karibu. Ndani ya miaka 18 tutashuhudia mengi mno yakiwapata.

Sisi kama nchi hatutakiwi kabida kutumia natural resources zetu kwa pupa. Zipo wala haziozi. Tuzitumie kwa umakini sana.

Nitaendelea kueleza na kuleta references.
Emirate of Dubai ambao ni wamiliki wa DP-WORLD hawana mafuta.

Kafanye homework yako vizuri.
 
Miaka kumi tu ijayo mafuta huenda yakaishiwa matumizi kabisa
 
What is the biggest weakness of the UAE government?

WEAKNESSES
  • Growing regional challenges to their prominent position as a trade hub.
  • High dependence of fiscal and external revenues on hydrocarbons.
  • Dependence on foreign labour (85% of the population is foreign)
  • Concentration of the national workforce in the public sector.
 
Baada ya sakata kuendelea kupamba moto huku na huku. Imenibidi nianze kuifuatilia United Arab Emirates. Nimefuatilia historia yao na mimefuatilia uchumi wao.

Chanzo kikubwa cha mapato katika nchi yao ni mafuta. Hiki ndicho chanzo kikubwa cha mapato.

Sasa cha kushangaza kabisa ni kutokana na mafuta kuisha. Kulingana na estimate za kitaalam mafuta hayo ndani ya miaka 18 yatakuwa yameisha.

Ka nchi ni kadogo na jangwa kila kona. Wanaona kabisa anguko lao linakuja kwa kasi.

Dalili za Nauru zinawanukia kwa kasi. Sasa wanatafuta kwa nguvu zote na kwa hila zote makoloni au ardhi katika nchi zingine.

Wanajaribu kutengeneza artificial tourism na vitu vingine vingi ili kuweza kujinusuru. Lakini kusema kweli anguko lao li karibu. Ndani ya miaka 18 tutashuhudia mengi mno yakiwapata.

Sisi kama nchi hatutakiwi kabida kutumia natural resources zetu kwa pupa. Zipo wala haziozi. Tuzitumie kwa umakini sana.

Nitaendelea kueleza na kuleta references.
We Jamaa Tangu ulipodanganyaga kuhusu kukutana na aliens Miaka ya 90 na story ya kupewa Kanuni na sheria na hao aliens HUWA SIKUAMINI HATA KIDGO HATA KAMA UKISEMAA UKWELI 😂😂😂😂😂
 
Emirate of Dubai ambao ni wamiliki wa DP-WORLD hawana mafuta.

Kafanye homework yako vizuri.
Wewe kibibi. Usijaribu kubishana na GT.
Hapa tunaongea kwa facts
Screenshot_20230820-215012.png
 
Markets In United Arab Emirates fall on recession fears​

Wana punda zao huku Africa hawana wasiwasi.

Mbuga zetu ni zao, bandari yao soon watachukua na migodi.
 
Nilifika nchi moja hivi huko nje. Ni tajiri na wanakila kitu. Nikaingia katika duka la sonara nilikuwa na mkufu wangu wa silver nilihitaji usafishwe.
Ndipo nikapata kuongea na yule sonara alikuwa ni mtu mzima hivi mpersia alie hamia miaka mingi Ulaya toka miaka ya 70.

Alinambia unajua hii nchi wana dhahabu nyingi tu. Sikumuelewa. Nikamwambia mbona hawachimbi? Ndo akanambia wazungu wajanja. Dhahabu yao wamehifadhi kwa vizazi vijavyo. Ndo maana hawataki ichimba sasa.
Hapo hapo nikamkumbuka Mwl. Nyerere alie sema ni heri tusichimbe madini yetu. Siku vizazi vyetu wakipata ujuzi watachimba wao.

Mkapa akamuona Nyerere mjinga akaamua kuleta wawekezaji. Walichimba hadi meneo mengine tayari madini kadhaa yameisha, tumebakiwa na mashimo makubwa hata kufukia huwezi.

Ndo maana Nyerere kwenye migodi aliweka kambi za jeshi na kuanzisha hifadhi za wanyama kuliko kuwa na madini.

Nilishituka na kauli ya mama Samia mapema sana, alipotwaa madaraka akasema madini hata kama yako mbugani lazima tuyachimbe. Wataweka wawekezaji. Roho iliniuma sana. Toka hapo niliona huyu mama kaja kutapanya na kuharibu mali ya wa Tanzania. Nilijua hatuna kiongozi.

Nilijaribu kuandika humu lakini ilifutiliwa mbali. Ushabiki ni mbaya ebu watanzania tuwe na uchungu na maliasili ya nchi yetu. Kuna kundi la uongozi wapo kujinehemesha kwa namna yoyote wao na familia zao. Wakati nchi inauzwa. Alisema Ndungai ila kwakua tunaushabiki tulimtukana na kumuona hafai.

Huyu mama au Rais Samia hana mema na Tanzania, kuna ndoto nilimuota, narudia huyu mama si mtu mzuri. Anaongea maneno matamu lkn moyo wake huko mbali. Na nirahisi kutumiwa ili kugawa maliasili zetu.
Umeandika ushuzi na uongo mwingi. Mwaka 2015 aliyekuwa mgombea urais mwenye kashfa ya ufisadi kupitia CHADEMA, Lowassa ndo alisema akiupata urais atatumia rasilimali za nchi kukopa.
 
Ndio maana wanapambania bandari kwa mkataba wa milele
Mkataba wa kimangungo uliojaa hila.
 
The dynasties of the United Arab Emirates consist of the six ruling families of the seven Emirates.

  • The Nahyan (branch of the House of Al Falahi) are the ruling family of Abu Dhabi.
  • The Maktoum (branch of the House of Al Falasi) are the ruling family of Dubai.
  • The Al Qasimi (also spelled Al Qassimi) families rule two of the seven emirates: Sharjah and Ras Al Khaimah.
  • The Al Nuaimi are the ruling family of Ajman.
  • The Al Mualla are the ruling family of Umm Al Quwain.
  • The Al Sharqi are the ruling family of Fujairah.
 
Mijitu mengine mijinga nikuulize wewe umefaidika na nini na rasilimali zilizokuwemo nchini kwako? tz tuna kila aina ya madini na gesi yenye thamani ya mabilioni ya dola lakini hutafaidiki navyo,warabu ata mafuta yakiisha leo hawaweezi kufilisika wale wanajua kutumia rasilimali zao kuwanufaisha.
 
Umeshawahi kusoma kisa cha Nauru?
Nenda kasome uelewe mambo ya uchumi. Nauru was the richest country in the World. But now is among the poorest countries in the world.

Nenda kasome kisa cha Nauru kisha uje hapa.
 
Hiyo 4 billion ndiyo hawana hao. Hata Tanzania tumewapita na tu masikini (wa akili) gas tuliyonayo ukiibadili kwa mafuta ni zaidi ya pipa trillion 10.
Nimekwambia wewe kibibi. Ukitaka kujadiliana na mimi njoo na facts.

Mipasho ya kwenye madrasa wapelekee wapuuzi wenzako. Hapa tunaongea kwa facts.

Njoo na facts acha porojo.
 
Baada ya sakata kuendelea kupamba moto huku na huku. Imenibidi nianze kuifuatilia United Arab Emirates. Nimefuatilia historia yao na mimefuatilia uchumi wao.

Chanzo kikubwa cha mapato katika nchi yao ni mafuta. Hiki ndicho chanzo kikubwa cha mapato.

Sasa cha kushangaza kabisa ni kutokana na mafuta kuisha. Kulingana na estimate za kitaalam mafuta hayo ndani ya miaka 18 yatakuwa yameisha.

Ka nchi ni kadogo na jangwa kila kona. Wanaona kabisa anguko lao linakuja kwa kasi.

Dalili za Nauru zinawanukia kwa kasi. Sasa wanatafuta kwa nguvu zote na kwa hila zote makoloni au ardhi katika nchi zingine.

Wanajaribu kutengeneza artificial tourism na vitu vingine vingi ili kuweza kujinusuru. Lakini kusema kweli anguko lao li karibu. Ndani ya miaka 18 tutashuhudia mengi mno yakiwapata.

Sisi kama nchi hatutakiwi kabida kutumia natural resources zetu kwa pupa. Zipo wala haziozi. Tuzitumie kwa umakini sana.

Nitaendelea kueleza na kuleta references.
Udini unakusumbua sana
 
Back
Top Bottom