Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Huyu mrembo amekuwa akiniongezea gharama katika matumizi ya kila siku, na hii ni kutokana na kuwa anapenda vitu vya anasa anasa. Kutokana na uzuri wake, pamoja na mizinga aliyokuwa akinipiga, niliamua kupandikiza ujauzito ili siku zijazo niweze kujifariji pale tutakapoachana.
Kwa sasa, ujauzito unamiezi sita; na hivi karibuni alinishawishi niweze kumuwezesha ili tuweze kuonana, kwa ajili ya kuongezea mbolea kwa mmea unaochipukia. Alinipa maneno mazuri sana na matamu ya ushawishi; mara akifika anataka nimpindue pindue juu ya meza, kwenye sofa, bafuni, jikoni, kwenye ngazi n.k mpaka arizike. Na nisimuachie muda wa kupumzika.
Kutokana na ushawishi huo, ikabidi nifanye maamuzi ya haraka haraka ya kumtumia salio, ili aweze kufika. Kweli alifika, lakini shoo ilikuwa ya kawaida sana, tena akataka kimoja tu, kwa sababu ya uchovu wa safari.
Nikajua labda kwa sababu ya safari, ngoja nimuache apumzike. Kesho yake asubuhi, anaanza kunipa bili, nataka niende saluni nikasafishe kucha, nywele, nataka nguo, mara mafuta ya mwili yameisha n.k.
Akanilazimisha kweli, ikabidi nimpatie akiba iliyokuwepo nikampa. Baada ya kurudi jioni, akawa ananilazimisha nimpeleke kiwanja, akawa ananishawishi sana, kwa kunikalia kwenye mapaja na kuniambia, nimwambie chochote atafanya, ili tu nimpeleke kiwanja.
Nikiwa na mauchungu yangu, tangu afike tu amenipa kimoja, na sasa ananishawishi kwa penzi ili nimtoe kiwanja, nikasema kimoyo moyo, penzi sitaki na kiwanja sikupeleki. Kutokana na kukataa kumtoa "Out", akawa amenuna, kuongea na mimi hataki, akaenda kulala. Nilipomfuata hataki nimguse, sababu anasema ana uchovu.
Ikabidi nisimame kiume, na kumuuliza, "Kwa nini unanipa mapenzi ya nipe nikupe, yaani mpaka nikutimizie kitu fulani ndiyo unipe penzi? Kesho sitaki nikuone, pokea hii nauli kesho asubuhi uondoke, sitaki ugomvi na mtu."
Akawa anajitetea, mara kwa ujauzito alionao unamfanya anakosa hamu, kwa hasira nikampa kimoja kwa nguvu, kesho yake asubuhi nikamuwekea mazingira aondoke kwa kumtaarifu nimepata safari ya ghafla. Nikamsindikiza kituo cha basi, na kumuaga. Tangu alipoondoka nikaanza kupunguza mawasiliano, namtumia hela ndogo ndogo tu ili akamilishe zoezi lake, ila kwa kifupi nimemuacha kisayansi.
Kwa sasa, akiniambia aje nimtengenezea njia, namwambia tafuta yeyote huko huko ang'oe hivyo visiki, njia iwe safi kwa kupitika. Nashukuru angalau kwa sasa afya ya moyo na uchumi naona unaanza kuimarika taratibu baada ya kufanya maamuzi magumu.