Imedhihirika Hakuna kiongozi wa Upinzani Mwenye uwezo wa Kufanya Mdahalo na Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi

Nchimbi mbona alikimbia?? Ccm bwana!
 
Jibu swali kama mtu mzima. Unakubaliana na mimi kuwa haukuwa mdahalo bali maswali kwenda kwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi? Kama ulikuwa ni mdahalo kwanini usingeendelea hata pasipo kuwepo Balozi Dkt Nchimbi?
Akidi ya mdahalo haikutimia hivyo pasingekuwa na uhalili wa mdahalo huo kuendelea.
 
Kwani mdahalo ulikuwa unaongozwa na kanuni zipi mpaka useme Akidi haikutimia kwa kutokuwepo mtu mmoja?
Tatizo hatuelewani kitu kidogo. Mdahalo unapaswa kua Kati ya chama tawala dhidi ya vyama vya upinzani. Chama tawala hakikuwepo sasa huo mdahalo ungekuwa na maana gani.
 
Tatizo hatuelewani kitu kidogo. Mdahalo unapaswa kua Kati ya chama tawala dhidi ya vyama vya upinzani. Chama tawala hakikuwepo sasa huo mdahalo ungekuwa na maana gani.
Ilikuwa mdahalo unaongozwa na kanuni zipi?
 
Double std za kishamba.
 
Unajaza servers za JF kwa ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…