ukweli umekuhemsha gentleman π€£Double std za kishamba.
Akili zinawaruka kabisa πYaani mpaka wanakuwa vichaa na matahira.
Yaani umasikini wa mali ni mbaya ila umasikini wa akili ni laana.Akili zinawaruka kabisa π
Ova
Tatizo lenu hampendi kusikia na kuambiwa ukweli.Yaani umasikini wa mali ni mbaya ila umasikini wa akili ni laana.
Unaishije kwa hisani ya mtu unayemsifia!!?
Maswali gani hayo? Huoni namna alivyo jibu maswali yote ya waandishi na wahariri kwa ufasaha na uhodari wa hali ya juu sana mpaka waandishi wa habari wakabaki hawana swali.CCM wauaji wanaogopa kujibu maswali ya tuhuma za mauaji
Tanzania inaangamiaπ₯Ndugu zangu Watanzania,
Sasa mnaweza kuelewa ni kwanini Edwin Odemba alilia na kububujikwa machozi hadharani kama mtoto mdogo pale alipoona Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ameshindwa kufika na kuhudhuria kwenye mdahalo kutokana na kutingwa na majukumu ya chama ,ambapo alikuwa anaendesha vikao vya Secretarieti katika maandalizi ya vikao vya kamati Kuu.
Mnaweza sasa kuelewa ni kwanini na wengine waliokuwepo wa CHADEMA na Act Wazalendo waligoma kuendelea na mdahalo bila uwepo wa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi.mnaweza kuelewa kiu na shauku kubwa ya washiriki kutamani uwepo wa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi.
Siyo kwamba washiriki na waandaaji walitaka kwenda kufanya mdahalo na Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi. Bali waandaaji walitaka kwenda kujifunza na kupata ufafanuzi wa Masuala mbalimbali,walitaka kwenda kuuliza mambo mbalimbali yanayowasumbua akili zao,walikuwa na maswali ya kuuliza na siyo hoja za kwenda kujadili na kujadiliana na Katibu mkuu wa CCM.
Ndio maana baada ya kukosekana kwake Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi waliamua na kuona hakuna sababu ya kuendelea na mdahalo,maana wao wanajuwa uwezo mkubwa wa kiakili,uzoefu wa kiuongozi,umakini ,utulivu na maarifa makubwa aliyonayo Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ,na ndio sababu waliona ni nafasi ya kipekee kwa wao kwenda kujifunza na kuongeza maarifa . na hivyo kukosekana kwake kukawa hakuna sababu ya wao kuendelea na mazungumzo kwa sababu mwenye majibu na Mkata kiu yao na wakuwasaidia hayupo.
Kwa hiyo siku nyingine waandaaji wasiseme na kuita mdahalo bali waseme maswali mbalimbali kwenda kwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi juu ya masuala mbalimbali.kwa sababu simuoni mwenye uwezo wa kufanya mdahalo na Katibu mkuu wetu kwa makatibu wakuu wa vyama vya upinzani vilivyopo hapa Nchini.
Kinachopaswa kufanywa na makatibu wakuu wa vyama vya upinzani ni kuendelea kujifunza kutoka kwa katibu mkuu wa CCM. Kwa hakika Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ni hazina kwa CCM na Taifa letu kwa ujumla wake.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ukweli gani zaidi ya kutumia nafasi alizopitia Kama getti la kuondokea.ukweli umekuhemsha gentleman π€£
ukweli saa zingine unawasumbua sana kuupokea ee gentleman π
namzungumzi Dr.Nchimbi na sio Nchimbi gentleman πUkweli gani zaidi ya kutumia nafasi alizopitia Kama getti la kuondokea.
Alafu wewe sio Nchimbi kweli ?
sasa si waandike tu hayo maswali yao na wampelekee pale ofisini kwakweπMi nadhani makatibu wengine walihairisha mdaharo siku ile kwa sababu wengi walienda pale wakiwa na maswali yao muhimu na mtu pekee alietakiwa kuulizwa hakufika.
Unadhani kwamba Mnyika anaweza kumuuliza kativu wa ACT juu ya utekaji na mfumuko wa bei!
Kawaida yenu kujaza Vyeo viingi jina baadae, kwani Kumuita Nchimbi inapunguza kipi ?namzungumzi Dr.Nchimbi na sio Nchimbi gentleman π
huenda unamzungumzia shishimbi wewe πKawaida yenu kujaza Vyeo viingi jina baadae, kwani Kumuita Nchimbi inapunguza kipi ?
Ndio maana nimesema hawakwenda kufanya mdahalo bali walikwenda kuuliza maswali na kujifunza masuala mbalimbali.ndio sababu kukosekana kwa kichwa na akili kubwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ikabidi nao Wagome kuendelea na mdahalo.ndio maana nimesema ya kuwa siku nyingine wasiseme mdahalo bali waseme maswali ya ana kwa ana kwa katibu mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli NchimbiMi nadhani makatibu wengine walihairisha mdaharo siku ile kwa sababu wengi walienda pale wakiwa na maswali yao muhimu na mtu pekee alietakiwa kuulizwa hakufika.
Unadhani kwamba Mnyika anaweza kumuuliza kativu wa ACT juu ya utekaji na mfumuko wa bei!
Alafu we ni Nchimbi acha kunipotezea Muda.huenda unamzungumzia shishimbi wewe π
inaeezekana ila hoja inamuhusu Dr.E. Nchimbi a powerful SG wa CCM Taifa gentleman πAlafu we ni Nchimbi acha kunipotezea Muda.
Think tank na Mbobevu wa Genge la wahuni ngazi ya Taifa.inaeezekana ila hoja inamuhusu Dr.E. Nchimbi a powerful SG wa CCM Taifa gentleman π
Wananchi tutafahamu vipi?!sasa si waandike tu hayo maswali yao na wampelekee pale ofisini kwakweπ
Watawaletea majibu waulize maswali.au kama wewe una maswali nipe hata mimi nipande gari nipeleke ofisini.Wananchi tutafahamu vipi?!