Imedhihirika Hakuna kiongozi wa Upinzani Mwenye uwezo wa Kufanya Mdahalo na Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi

Hawezi kivipi?
 
Timu haijapeleka wachezaji uwanjani, halafu anasema imeshinda mechi?! Hakika unashangaza! Fikiria dunia/jamii utaifanyia nini! Na si jamii ikufanyie nini! Kuna vizazi vingi vimepita vikaipotesha jamii ya wakati huo, sababu iliondoa fikra pevu na kupandikiza fikra duni.., kisa wapate masilahi fulani binafsi. Unayemzungumzia hakuwepo kwenye mdahalo, anaonekanaje mshindi ilhali hajashiriki na kupambana kwenye mashindano! Ukiona nyeupe, SEMA nyeupe na si VINGINEVYO. Tambua huu si wakati wa giza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…