Imefikia hatua Ulaya inataka kuilazimisha China kufanya uhamishaji wa teknolojia Ulaya. How the table has turned!

Imefikia hatua Ulaya inataka kuilazimisha China kufanya uhamishaji wa teknolojia Ulaya. How the table has turned!

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
9,548
Reaction score
28,817
Kutokana na China kuwa na teknolojia kubwa hasa katika utengenezaji wa bidhaa za high technology imeanza kuwekeza viwanda katika mataifa ya Ulaya kutokana na mataifa hayo kuwa nyuma katika teknolojia hizo.

Hatimaye EU imeona hii ni fursa ya wao kujifunza kutoka kwa Wachina. Ila wanapokosea wanataka kuilazimisha China kufanya uhamishaji wa teknolojia (technology transfer) Wachina wanapofungua viwanda barani humo.

Kitu ambacho hakiendani na kanuni na taratibu kibiashara za Shirika la Biashara Duniani (W.T.O)

Vyombo vya habari vya Magharibi kwa miaka mingi vimekuwa vikiiaminisha dunia kuwa China imekuwa ikiiba teknolojia, IP, kufanya copy & paste na reverse engineering kutoka nchi za Magharibi.

Hatimaye mwizi wa teknolojia ndiye anayelazimishwa amfundishe mvumbuzi
​

=====================

The European Union is looking into setting pre-conditions for Chinese companies investing in Europe, including transfers of technology and know-how, the EU trade chief and Denmark's foreign minister said on Tuesday.

EU ministers discussed the bloc's economic security during a meeting hosted by Denmark, now holding the rotating presidency, ahead of a comprehensive paper the European Commission is set to present on the topic by the end of the year

Danish Foreign Minister Lars Rasmussen told a news conference that many in Europe thought that, by playing by the rules, they could emerge as winners. He said the EU should take some inspiration from the U.S. and China in setting conditions.

"If we invite Chinese investments to Europe, it must come with the precondition that we also have some kind of technology transfer," he said. "I don't think we have completed that discussion, but we find ourselves in new circumstances."

Source: Reuters
 
Kutokana na China kuwa na teknolojia kubwa hasa katika utengenezaji wa bidhaa za high technology imeanza kuwekeza viwanda katika mataifa ya Ulaya kutokana na mataifa hayo kuwa nyuma katika teknolojia hizo.

Hatimaye EU imeona hii ni fursa ya wao kujifunza kutoka kwa Wachina. Ila wanapokosea wanataka kuilazimisha China kufanya uhamishaji wa teknolojia (technology transfer) Wachina wanapofungua viwanda barani humo.

Kitu ambacho hakiendani na kanuni na taratibu kibiashara za Shirika la Biashara Duniani (W.T.O)

Vyombo vya habari vya Magharibi kwa miaka mingi vimekuwa vikiiaminisha dunia kuwa China imekuwa ikiiba teknolojia, IP, kufanya copy & paste na reverse enginnering kutoka nchi za Magharibi.

Hatimaye mwizi wa teknolojia ndiye anayelazimishwa amfundishe mvumbuzi.
​
Mfano Teknolojia gani na bidhaa gani za high Technology??
 
Tatizo la Ulaya ni kutoweka mkwanja wa maana kwenye research and development. Mchina anaweka kibunda cha maana kwenye R&D imemfanya kwenye innovations awe bora sana anashindana na Marekani
Yeah hiyo ni sababu

Ila pia Ulaya walipofeli ni kuamini kwenye finance economy na kuiacha nyuma manufacturing

Mwisho wa siku wanapoteza technical know how kwenye uchumi wa viwanda

Tofauti ya Marekani na China kwa sasa kwenye R&D na innovations ni hii:

Mchina amekuwa mstari wa mbele kwenye kuzitumia scientific methods na idea kwenye kuunda products

Marekani ikibaki tu na prototypes, model na concept kufanya manufacturing imekuwa kipengele
 
ulaya ya sasa sio tuliyowahi kuijua kabla ya 2000s

Ulaya ya sasa ipo very woke, inathamini kupitiliza haki za wanawake, lgbt, kuingiza wahamiaji wengi, ku cancel watu, kubana uhuru wa maoni, n.k.

GO WOKE GO BROKE

bchi nyingi za Ulaya zisipofanya mabadiliko zitazikwa kabla ya 2050
 
Nchi kama Ujerumani ambayo ni industrial powerhouse ya Ulaya inafunga vinu vya nyuklia inakosa nishati ya kutosha, kisa eti kuepuka majanga kama ya Chernobly na eti wanafocus kwenye renewable energy source kama wind na solar

NORDSTREAM inalipuliwa wanakosa nishati ya bei rahisi kutoka Russia sasa wananunua nishati kwa bei kubwa inaongeza gharama za uzalishaji

Bara la Ulaya lina uhaba wa skilled personnel na kama haitoshi kutokana na kupanda kwa gharama za maisha kunatokea upungufu wa demand ya bidhaa za viwandani

Wawekezaji wanaamua ku-outshore kutafuta kwenye gharama nafuu za uzalishaji.

Kadiri taifa linavyoacha kufanya manufacturing ndivyo wanapoteza technical know how

Industrial production ya Ujerumani imeshuka kwa 4% huku uchumi wa Ulaya ukipanda kwa 1% tu

Nchi za Ulaya zisipochukua hatua zitapoteana na cha kwanza wakatae kuwa vibaraka wa Marekani
 
Ulaya siyo wajinga wawe walaji tu bila kushiriki kama sisi.
Wao wanataka kama unafurahia!soko lao basi bidhaa zako utengenezee kwao ili wapime ubora wa bidhaa kwa standard zao, pia kutoa ajira kwa raia wao ambao ndio walaji wa bidhaa zako.
Sisi Tunanunua kila kitu hatutoi mashinikizo wachina wawekeze viwanda Tanzania, kutoa ajira kwa Watanzania.
 
Mchina tayari ana baadhi ya viwanda Ulaya alishawekeza ila wanachotaka kwa sasa ni technology transferbilo wacompete naye
 
Tatizo nchi za Ulaya zipo bize na kupromote ushoga.... Wacha China awanyooshe....
 
Africa hata manufacturing ya Bodaboda tunashindwa.
Ufisadi ni janga.
 
Nchi kama Ujerumani ambayo ni industrial powerhouse ya Ulaya inafunga vinu vya nyuklia inakosa nishati ya kutosha, kisa eti kuepuka majanga kama ya Chernobly na eti wanafocus kwenye renewbale energy source kama wind na solar

NORDSTREAM inalipuliwa wanakosa nishati ya bei rahisi kutoka Russia sasa wananunua nishati kwa bei kubwa inaongeza gharama za uzalishaji

Bara la Ulaya lina uhaba wa skilled personnel na kama haitoshi kutokana na kupanda kwa gharama za maisha kunatokea upungufu wa demand ya bidhaa za viwandani

Wawekezaji wanaamua ku-outshore kutafuta kwenye gharama nafuu za uzalishaji.

Kadiri taifa linavyoacha kufanya manufacturing ndivyo wanapoteza technical know how

Industrial production ya Ujerumani imeshuka kwa 4% huku uchumi wa Ulaya ukipanda kwa 1% tu

Nchi za Ulaya zisipochukua hatua zitapoteana na cha kwanza wakatae kuwa vibaraka wa Marekani
Ila we jamaa bwana wewe mwafrika mwenye lowest IQ. Yaani Ujerumani wamekuwa wajinga kufunga vinu vya nuclear?
 
Mchina tayari ana baadhi ya viwanda Ulaya alishawekeza ila wanachotaka kwa sasa ni technology transferbilo wacompete naye
Huo uongo sasa, technologia gani waitake kutoka china?
Wanataka rare minerals tu, huo uchafu mwingine wa kichina sidhani kama kuna mtu ana utaka.
China mpaka sasa hajaingizwa WTO kwasababu wanajua hana chochote cha ku share.
 
Back
Top Bottom