Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
- #81
HapanaNchi za magharibi hawakuona ni big deal wakawaacha tu, kwasababu walijua wana watumia kwenye cheap labor.
Wao walikimbilia kuwekeza zaidi kwenye finance economy wakapuuzia manufacturing economy
Mwisho wa siku nchu za Ulaya zinategemea supply chain ya China ili kupata critical components na household goods