Nanja ipi sasa? Hawa wachina bado wanajitafuta.
Siku wakiipiku USA dunia nzima itajua tu.
Wanao uwezo kutudanganya sisi hapa na second hand tools na technology, lakini huko mbele hawathubutu.
Hakuna technologia wachina wameipiku USA.
China bado inaogopa vikwazo vya USA, wanategemea advanced technology zimwagike kutoka huko USA bila hivyo hawawezi na hawana ujanja, wanaweza kutoa cheap labor tu siyo technoligical advancement or assistance.
Sisi huku maporini ndio wanatusaidia saidia, lakini huwezi kuta mchina anapewa tender kujenga daraja marekani au sijui kuingiza simu mbovu hayo ni hapa kwetu tu.