Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Mfano Teknolojia gani na bidhaa gani za high Technology??Kutokana na China kuwa na teknolojia kubwa hasa katika utengenezaji wa bidhaa za high technology imeanza kuwekeza viwanda katika mataifa ya Ulaya kutokana na mataifa hayo kuwa nyuma katika teknolojia hizo.
Hatimaye EU imeona hii ni fursa ya wao kujifunza kutoka kwa Wachina. Ila wanapokosea wanataka kuilazimisha China kufanya uhamishaji wa teknolojia (technology transfer) Wachina wanapofungua viwanda barani humo.
Kitu ambacho hakiendani na kanuni na taratibu kibiashara za Shirika la Biashara Duniani (W.T.O)
Vyombo vya habari vya Magharibi kwa miaka mingi vimekuwa vikiiaminisha dunia kuwa China imekuwa ikiiba teknolojia, IP, kufanya copy & paste na reverse enginnering kutoka nchi za Magharibi.
Hatimaye mwizi wa teknolojia ndiye anayelazimishwa amfundishe mvumbuzi.
Yeah hiyo ni sababuTatizo la Ulaya ni kutoweka mkwanja wa maana kwenye research and development. Mchina anaweka kibunda cha maana kwenye R&D imemfanya kwenye innovations awe bora sana anashindana na Marekani
Soma link kutoka Reuters message #2Mfano Teknolojia gani na bidhaa gani za high Technology??
Africa ndio bara linaloongoza kuwa na watu wengi wajinga na wenye lowest IQ dunianiWakati huo huo Africa tupo tunasubiri kuomba misaada kwa wachina na wazungu
Nchi kama Ujerumani ambayo ni industrial powerhouse ya Ulaya inafunga vinu vya nyuklia inakosa nishati ya kutosha, kisa eti kuepuka majanga kama ya Chernobly na eti wanafocus kwenye renewable energy source kama wind na solarulaya ya sasa sio tuliyowahi kuijua kabla ya 2000s
Ulaya ya sasa ipo very woke, inathamini kupitiliza haki za wanawake, lgbt, kuingiza wahamiaji wengi, ku cancel watu, kubana uhuru wa maoni, n.k.
GO WOKE GO BROKE
bchi nyingi za Ulaya zisipofanya mabadiliko zitazikwa kabla ya 2050
Kwaniaba ya wakristo wa afrika waarabu ndo hawana akili kushinda jamii zoteAfrica ndio bara linaloongoza kuwa na watu wengi wajinga na wenye lowest IQ duniani
Mchina tayari ana baadhi ya viwanda Ulaya alishawekeza ila wanachotaka kwa sasa ni technology transferbilo wacompete nayeUlaya siyo wajinga wawe walaji tu bila kushiriki kama sisi.
Wao wanataka kama unafurahia!soko lao basi bidhaa zako utengenezee kwao ili wapime ubora wa bidhaa kwa standard zao, pia kutoa ajira kwa raia wao ambao ndio walaji wa bidhaa zako.
Sisi Tunanunua kila kitu hatutoi mashinikizo wachina wawekeze viwanda Tanzania, kutoa ajira kwa Watanzania.
Hii ni kauli ya Waafrika jamii ya watu wajinga na masikini zaidi dunianiKwaniaba ya wakristo wa afrika waarabu ndo hawana akili kushinda jamii zote
Ila we jamaa bwana wewe mwafrika mwenye lowest IQ. Yaani Ujerumani wamekuwa wajinga kufunga vinu vya nuclear?Nchi kama Ujerumani ambayo ni industrial powerhouse ya Ulaya inafunga vinu vya nyuklia inakosa nishati ya kutosha, kisa eti kuepuka majanga kama ya Chernobly na eti wanafocus kwenye renewbale energy source kama wind na solar
NORDSTREAM inalipuliwa wanakosa nishati ya bei rahisi kutoka Russia sasa wananunua nishati kwa bei kubwa inaongeza gharama za uzalishaji
Bara la Ulaya lina uhaba wa skilled personnel na kama haitoshi kutokana na kupanda kwa gharama za maisha kunatokea upungufu wa demand ya bidhaa za viwandani
Wawekezaji wanaamua ku-outshore kutafuta kwenye gharama nafuu za uzalishaji.
Kadiri taifa linavyoacha kufanya manufacturing ndivyo wanapoteza technical know how
Industrial production ya Ujerumani imeshuka kwa 4% huku uchumi wa Ulaya ukipanda kwa 1% tu
Nchi za Ulaya zisipochukua hatua zitapoteana na cha kwanza wakatae kuwa vibaraka wa Marekani
Huo uongo sasa, technologia gani waitake kutoka china?Mchina tayari ana baadhi ya viwanda Ulaya alishawekeza ila wanachotaka kwa sasa ni technology transferbilo wacompete naye