Hizo ni motorized machines manufacturing yake ngumu.Africa hata manufacturing ya Bodaboda tunashindwa.
Ufisadi ni janga.
Huo uongo sasa, technologia gani waitake kutoka china?
Wanataka rare minerals tu, huo uchafu mwingine wa kichina sidhani kama kuna mtu ana utaka.
Wala hawajaitaja rare earths kwenye conditions zao kwa China wanapoinvest UlayaWanataka rare minerals tu
China ni member wa WTO tangu 2001China mpaka sasa hajaingizwa WTO kwasababu wanajua hana chochote cha ku share.
Ila we jamaa bwana wewe mwafrika mwenye lowest IQ. Yaani Ujerumani wamekuwa wajinga kufunga vinu vya nuclear?
Kulikuwa na kiwanda cha UFI (Ubungo Farming Industries) kwa ajili ya kutengeneza zana za kilimo hapo Shekilango sijui kiliishia wapi siku hizi palipokuwa kiwanda wanatengeneza mabomba makubwa ya maji. InasikitishaHizo ni motorized machines manufacturing yake ngumu.
Sisi hadi mapanga na majembe ya mkono tuna agiza China.
Wengine raha yao ni kubishia kila kitu.... Usikate tamaa..... Ulimwengu kwa sasa unashuhudia makubwa kutoka China 🇨🇳....EU floats conditions such as tech transfers for China investments
The European Union is looking into setting pre-conditions for Chinese companies investing in Europe, including transfers of technology and know-how, the EU trade chief and Denmark's foreign minister said on Tuesday.www.reuters.com
Technologia wanayo sema hayo madini hawana.Wala hawajaitaja rare earths kwenye conditions zao kwa China wanapoinvest Ulaya
Ila tukirudi kwenye rare earths wanamtegemea Mchina kupata refined rare earth
Teknolojia ya kurefine rare earths hawana
Hayo nawazo ya mwuandishi tu hakuna, know how wanahitaji kutoka China.EU floats conditions such as tech transfers for China investments
The European Union is looking into setting pre-conditions for Chinese companies investing in Europe, including transfers of technology and know-how, the EU trade chief and Denmark's foreign minister said on Tuesday.www.reuters.com
Technologia wanayo sema hayo madini hawana.
Migodi mingi funiani inamilikiwa na Western countries, sema hawana geological sites zenye abundance ya hayo madini.
Ukienda Robinson mining, wale Canadian kule Utah na Nevada wana chenjua hizo rare minerals kwenye maabara zao.
Sema hawana za kutosheleza mahitaji yao.
Technologia wanayo sema hayo madini hawana.
Migodi mingi funiani inamilikiwa na Western countries, sema hawana geological sites zenye abundance ya hayo madini.
Ukienda Robinson mining, wale Canadian kule Utah na Nevada wana chenjua hizo rare minerals kwenye maabara zao.
Sema hawana za kutosheleza mahitaji yao.
Hapo hakuna mtazamo wa mwandishi hilo limesemwa na viongozi wa E.UHayo nawazo ya mwuandishi tu hakuna, know how wanahitaji kutoka China.
Wao wanataka investments ili raia wao wapate ajira pia kodi.
Ni technologia gani china wanayo ambayo europe hawana?Hapo hakuna mtazamo wa mwandishi hilo limesemwa na viongozi wa E.U
Processing is driven by their cheap labor, not by higher or unknown technology.
Hakuna nchi inapeleka rare earth china kufanya refinary.Teknolojia ndio kipengele nchi kadhaa duniani zina rare earths hata Marekani. Hata washirika wa karibu wa Marekani kama Autralia, Canada wanayo
Lakini 90% ya rare earths hupelekwa China kufanyiwa refining. Ndio maana kuna msemo:
Rare earths are not truly rare in the Earth's crust, but the technology and infrastructure to separate and refine them into usable materials are rare and complex
Hakuna nchi inapeleka rare earth china kufanya refinary.
China wana machimbo na wana teknolojia ya ku-refine.China wana migodi wanachimba na ni makubaliano yao kwamba hayo madini wayapeleke nchi zinazoyahitaji bila masharti siyo kwamba wao wanayo pekeyao
Europe na USA wanayafahamu hayo madini kabla China haijafahamu yanatumika kufanya nini, sema wao hawataki au hawana maeneo ya kuyachimba hivyo ni nafuu kwao kuyanunu kuliko kuchimba na kuya refine.
Zisome kwa makini screenshots nilizokutumiaHuwezi kusema kwasababu Canada inachimba madini Tanzania basi hayapo Canada.
Wao wameshaweka mitambo ya kuchimba na kuchenjua, siyo kwamba nchi zingine hazina technologia hiyo.