Siku China akifika level za US alipo, kutakuwa na kelele sana humu ndani.Huo uongo sasa, technologia gani waitake kutoka china?
Wanataka rare minerals tu, huo uchafu mwingine wa kichina sidhani kama kuna mtu ana utaka.
China mpaka sasa hajaingizwa WTO kwasababu wanajua hana chochote cha ku share.
"Siku akifika" ina maana bado hajafika. Kuna watu wanaamini imeshaipiku usa mbali.Siku China akifika level za US alipo, kutakuwa na kelele sana humu ndani.
Sasa unadhani usa anachukua hizi rare minersls kibabe tu?China wana machimbo na wana teknolojia ya ku-refine.
Acha uongo ni wapi hayo makubaliano yaliwekwa?
Yataje hayo madiniSasa unadhani usa anachukua hizi rare minersls kibabe tu?
KIla marekani anapoongeza tarrifs china alikuwa anaongeza, lakini mwisho akaamua kuweka zuio la kupeleka rare minerals usa.
Kuna minerals hata china hajajua zinatumika kufanya nini kwa taarifa yako.
Unapenda sana udini mkuu una shida kwenye ubongo wako. Wewe kila mada yako lazima iwe na udiniMakobaz mumehamia kwenye kusifu china, mumetelekza Urusi baada ya kuona hakuna kitu pale, hakuwasaidia wakati kubwa lenu Iran linapigwa na kainchi ka Israel
Ha ha ha wanazingua sana mkuu"Siku akifika" ina maana bado hajafika. Kuna watu wanaamini imeshaipiku usa mbali.
China inchotaka ni self dependence kwenye tech. Kuna nyanja nyingi tu za critical techs China imeipiku Marekani so far"Siku akifika" ina maana bado hajafika. Kuna watu wanaamini imeshaipiku usa mbali.
Watu wanadanganywa na ming'ao. Hizo ni show off tu lakini bado hawajafika.Ha ha ha wanazingua sana mkuu
Nanja ipi sasa? Hawa wachina bado wanajitafuta.China inchotaka ni self dependence kwenye tech. Kuna nyanja nyingi tu za critical techs China imeipiku Marekani so far
Kumbe unahitaji msaada?Yataje hayo madini
Umekuwa kichwa pumbu pro max siku hiziMakobaz mumehamia kwenye kusifu china, mumetelekza Urusi baada ya kuona hakuna kitu pale, hakuwasaidia wakati kubwa lenu Iran linapigwa na kainchi ka Israel
Nanja ipi sasa? Hawa wachina bado wanajitafuta.
Siku wakiipiku USA dunia nzima itajua tu.
Wanao uwezo kutudanganya sisi hapa na second hand tools na technology, lakini huko mbele hawathubutu.
Hakuna technologia wachina wameipiku USA.
China bado inaogopa vikwazo vya USA, wanategemea advanced technology zimwagike kutoka huko USA bila hivyo hawawezi na hawana ujanja, wanaweza kutoa cheap labor tu siyo technoligical advancement or assistance.
Sisi huku maporini ndio wanatusaidia saidia, lakini huwezi kuta mchina anapewa tender kujenga daraja marekani au sijui kuingiza simu mbovu hayo ni hapa kwetu tu.

Yataje hayo madiniKumbe unahitaji msaada?
Kuna madini kibao wanauza marekani na ulaya hawajhi kazi zake, ni kama sisi tu hapa tuna uza madini kwa kukopu bei za nje huko lakini hata hatujui wananuzi wanayapeleka wapi au yanafanya kazi gani.
Wachina wajanha wajanja tu huku kwetu wasikutishe huko mbele waibiaji tu.
Itabidi uwaulize hao viongozi wa EUNi technologia gani china wanayo ambayo europe hawana?
Kweli asilimia kubwa ya makenya akili zenu zimeathirika na dini ndo maana ilikuwa rahisi hata kwa yule pasta wa wakahola kuwa mamilioni ya makenya ili waende mbinguniMakobaz mumehamia kwenye kusifu china, mumetelekza Urusi baada ya kuona hakuna kitu pale, hakuwasaidia wakati kubwa lenu Iran linapigwa na kainchi ka Israel
Hawa wanatoa cheap labor tu, ww hujui viwanda vingi vya marekani walioeleka china, mexico, pakistani, vietnam na baadhi ya nchi hizo kwasababu ya cheap labor.View attachment 3493172
View attachment 3493173
View attachment 3493174
U.S military contractors wanategemea critical components kutoka kwa suplliers wa China ili kuunda baadhi ya silaha zao za kisasa
Haya majedwalu na mapicha tu china hana lolote.View attachment 3493172
View attachment 3493173
View attachment 3493174
U.S military contractors wanategemea critical components kutoka kwa suplliers wa China ili kuunda baadhi ya silaha zao za kisasa