Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Wewe keki ya taifa unaona ni kitu kidogo?Cake ya taifa?
Oct 29, wahusika wapo ila hawataki kuwajibika, wanadhani watu wanasahauNaona mmewachoka na mnawachukia sana.
Mnakaa vijiweni na kuomba walipuliwe kama Ayatollah na jopo lake alivyouwawa.
Hii ni sababu ya nini?
Cake ya taifa?
Naona mmewachoka na mnawachukia sana.
Mnakaa vijiweni na kuomba walipuliwe kama Ayatollah na jopo lake alivyouwawa.
Hii ni sababu ya nini?
Cake ya taifa?
Uonevu dhidi ya wananchi:-Hii ni sababu ya nini?
Kwani angalao wameshajaribu kutafakari hii ni kwaniniNaona mmewachoka na mnawachukia sana.
Mnakaa vijiweni na kuomba walipuliwe kama Ayatollah na jopo lake alivyouwawa.
Hii ni sababu ya nini?
Cake ya taifa?
Sio kuchokwa,hawatakiwi. Akifa mmoja uone watu wanavyoshangiliaNaona mmewachoka na mnawachukia sana.
Mnakaa vijiweni na kuomba walipuliwe kama Ayatollah na jopo lake alivyouwawa.
Hii ni sababu ya nini?
Cake ya taifa?
vibaraka, mamluki na wapiga ramli waliopoteza uelekeo wa kisiasa, saa zingine hua kama wehu tu gentleman.Naona mmewachoka na mnawachukia sana.
Mnakaa vijiweni na kuomba walipuliwe kama Ayatollah na jopo lake alivyouwawa.
Hii ni sababu ya nini?
Cake ya taifa?
vibaraka, mamluki na wapiga ramli waliopoteza uelekeo wa kisiasa, saa zingine hua kama wehu tu gentleman.
huenda ni wehu pia gentleman,Kwani wao wanapopanga kuua watu, kubabikiza kesi, kutesa na kuteka waga hawajua kama ni wehu?