huenda ni wehu pia gentleman,
ila waongo, wazushi na wapiga porojo nonsense waa kutafuta sympathy useless ni wehu zaidi.
Wehu na upunguani ni kuua na kuteka watu na kuwaua kinyama.
huenda ni wehu pia gentleman,
ila waongo, wazushi na wapiga porojo nonsense waa kutafuta sympathy useless ni wehu zaidi.
Gentleman,Wehu na upunguani ni kuua na kuteka watu na kuwaua kinyama.
Gentleman,
watunga porojo, uzushi na uongo nonsense kama huo,
ndio wehu wale wale tu gentleman, waliopoteza uelekeo wa maisha na sasa wanajikimu kimaisha kwa kutafuta public sympathy kwa uzushi nonsense kabisa wa kutunga
Duuuh kwa hio wote waende asibakie hata mmoja?Sniper D. Trump ajifanye kama anajikuna hivi, akosee shabaha, MISSILE iangukie kwenye lile jengo la bunge la nchi ya kusadikika, tena liwakute wote wamehudhuria kikao hewa kuzikomba per diem zao haramu. Mungu atakuwa amemaliza mzozo mkubwa!!
Ndio wanajadili mitaaniDuuuh kwa hio wote waende asibakie hata mmoja?
hizo drama, projo na uzushi nonsense wa kutafua tension na useless public sympathy gentleman.Kwa iyo watu hawatekwi? 😁
Watu hawajauwawa Oktoba 29?
We ni msen...gehizo drama, projo na uzushi nonsense wa kutafua tension na useless public sympathy gentleman.
ni wehu tu ndio wanaweza kubabaishwa na uzushi nonsense kama huo