Imejitokeza sintofahamu ya watoto kupotea na kukutwa wakiwa wamefariki huku miili yao ikiwa haina baadhi ya viungo, mamlaka ichuke hatua stahiki

Inapaswa yafanyike maombii kusambaratisha VIKAO VYA SIRI
 
Kusimama mbele ya watu ili wakukubali sio mchezo, inahitajika ushirikina wa hali ya juu. Hata kama hujui kuongea unawekewa maneno mdomoni katika ulimwengu wa roho. Utakuta mtu hata shule hajaenda ila akikohoa tu kila mtu anamsikiliza.
 
Pelekeni polisi hizo taarifa.
 
Kusimama mbele ya watu ili wakukubali sio mchezo, inahitajika ushirikina wa hali ya juu. Hata kama hujui kuongea unawekewa maneno mdomoni katika ulimwengu wa roho. Utakuta mtu hata shule hajaenda ila akikohoa tu kila mtu anamsikiliza.
Huwenda hawa viongozi bila ya kufanya hivyo mdomo unajaa mate mbele ya halaiki
 
Ng'ombe na mbuzi mbona wapo wengi, wangetumia wanyama badala ya binaadamu
Huu ndiyo ujinga wa uchawi kwenye uongozi na utajiri, mara nyingi shughuli huanzia kwenye kuchinja, njiwa, kuku, mbuzi ngombe baadae vyote hivi shetani huvikataa, hivyo kuhitaji damu na viungo vya binadamu. Bullshit black magic, better white magic!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…