Imejitokeza sintofahamu ya watoto kupotea na kukutwa wakiwa wamefariki huku miili yao ikiwa haina baadhi ya viungo, mamlaka ichuke hatua stahiki

Imejitokeza sintofahamu ya watoto kupotea na kukutwa wakiwa wamefariki huku miili yao ikiwa haina baadhi ya viungo, mamlaka ichuke hatua stahiki

Na ndio mana ukisoma maandiko ilifika mahali Mungu mwenyewe alihuzunika sana kumuumba binadamu
Ametakasika Mola wetu na mnayomshirikisha nayo. Mola wetu ni Mwenye Sifa zote njema. Na Sifa zake ni Kamilifu na ameepukana na upungufu na udhaifu. Sifa zote njema zinamstahiki Yeye. Yeye ni Mjuzi, Muweza wa kila kitu na Anayefanya analolitaka.
 
HABARI MPYA ILIONIFIKIA MUDA HUU:

Jana vingunguti wamekutwa watoto wanne wamefariki huku baadhi ya viungo na sehemu zao za siri zikiwa hazipo (zimenyofolewa).

Mbali na vingunguti pia maeneo ya ulongoni kunamtoto wakiume amepotea mpaka sasa hajapatikana
 
Nimesikia habari hizo kwenye chombo kimoja Cha habari wakisema hizo ni habari za uzushi
 
Week iliyopita kuna mwili wa mtoto umekatwa kichwa uliokotwa kwenye daraja maeneo ya Kinondo.
 
Watoto wenye umri wa miaka 3 hadi 5 ndo MOST WANTED, Wazazi tuchungeni vijana wetu wenye umri huo.
 
Wazazi ambao watoto wao wanasoma shule ya Msingi Mianzini Mburahati Dar es Salaam, pamoja na shule ambazo zipo jirani, wamevamia shule hiyo kushinikiza kupatiwa watoto wao, kufuatia uwepo wa taarifa za baadhi ya watoto kutekwa.

Chanzo ITV

Watoto wenye umri wa miaka 3 hadi 5 ndo MOST WANTED, Wazazi tuchungeni vijana wetu wenye umri huo.
watoto wa viongozi wapo salama sababu wapo ndani ya fensi yenye ulinzi mkali na kwa wanaosoma wanaenda kwa school bus na kurudi kwa school bus au wapo bwenini huko kama sio nje ya nchi
 
3b8f7596-2dea-4e5b-8160-21526da02bf9.jpg
 
Back
Top Bottom