Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,628
- 2,720
Ametakasika Mola wetu na mnayomshirikisha nayo. Mola wetu ni Mwenye Sifa zote njema. Na Sifa zake ni Kamilifu na ameepukana na upungufu na udhaifu. Sifa zote njema zinamstahiki Yeye. Yeye ni Mjuzi, Muweza wa kila kitu na Anayefanya analolitaka.Na ndio mana ukisoma maandiko ilifika mahali Mungu mwenyewe alihuzunika sana kumuumba binadamu