Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Wapi huko mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali ni mbaya sanaaHali ni mbaya tunawindana kama wanyama
Wizara husika zinasemajeWakuu amani ya Mungu iwe nanyi.
Kumekua na taharuki kwa wakazi wa Temeke, Tandika, Mbagala na Vikindu kwa ujumla wake.
Imejitokeza sintofahamu ya watoto kupotea na kukutwa wakiwa wamefariki huku miili yao ikiwa haina baadhi ya viungo.
Majuma kadhaa yaliyopita maeneo ya Mbagala Mgeni nani miili ya watoto imekutwa huku baadhi ya viungo vikiwa havipo.
Wiki iliyoisha maeneo ya Tandika mtoto wa jirani yangu alikoswa kuchukuliwa na watekaji mara baada ya kufanya jaribio la kumteka mtoto, bahati nzuri mtoto alikimbia na kuja kusimulia kwa wazazi wake.
Juzi maeneo ya Kisemvule inaripotiwa mama mjamzito amekutwa amefariki huku sehemu zake za siri zikiwa zimenyofolewa.
Jana maeneo ya vikindu(kazole) nimepewa taarifa ya kukutwa kwa miili ya watoto wawili wanaodaiwa kuwa na miaka kati ya 11 mpaka 14 ikiwa haina baadhi ya viungo.
Vyombo vya habari mpaka sasa sijasikia ikiripoti tokio lolote kati ya hayo juu au yanayo shaabiana na hayo.
Rai yangu kwa mamlaka husika tunaomba wanaotenda haya matukio muwashughulikie haraka sana watatumalizia watoto wetu na jamaazetu.
Mwanasiasa ambaye amethibitika kwenda kwa waganga ni yule mtemi fulani ambaye anatumia majina ya watu kwenye vyeti vyake (nashangaa kwanini hakutumbuliwa kipindi Cha vyeti feki) Kipindi Cha nyuma alikua na mchepuko wa kipare, Ni mrefu, mpenda sifa na mpenda ugomvi hasa na watu waliomzidi pesa, anapenda kukopakopa na akikataliwa anakua mbogo.haya matukio yamekua yakijitokeza hasa majira haya ya chaguzi.
Tuyakemee kwa pamoja
Last week kulikuwa na kikao Cha polisi na wananchi, polisi walisema wanaendelea na uchunguzi, wanahitaji ushirikiano wetu.Pelekeni polisi hizo taarifa.
Mungu wanguJuzi alipotea baby girl 8yrs old alichukuliwa na boda eti.karudi Leo na chupi mpya.mamake alienda Hadi mochwari aliambiwa kuna watoto watatu maiti zimepokelewa. Katoka mochwari kakutana na mtoto njiani.sijui hata umekuaje maana nimeumia mno
Juzi alipotea baby girl 8yrs old alichukuliwa na boda eti.karudi Leo na chupi mpya.mamake alienda Hadi mochwari aliambiwa kuna watoto watatu maiti zimepokelewa. Katoka mochwari kakutana na mtoto njiani.sijui hata umekuaje maana nimeumia mno
Ni hatari.Mungu wangu
Wewe na wenzako wanaoamini Kama wewe ndio chanzo kikuu cha matukio haya kuwepo.Kusimama mbele ya watu ili wakukubali sio mchezo, inahitajika ushirikina wa hali ya juu. Hata kama hujui kuongea unawekewa maneno mdomoni katika ulimwengu wa roho. Utakuta mtu hata shule hajaenda ila akikohoa tu kila mtu anamsikiliza.
Huwa nashangaa sana watanzania wanavyo jitapa kimataifa kwamba Tanzania ni nchi ya Amani.
Yani hata kwenye Top mia ya nchi zenye Amani duniani, Tanzania haipo na haifai kuwepo.
Hii Amani tunayo hubiriwa ni Amani uchwara.
Kwani imethibitika kuwa kuna mwanasiasa yoyote anahusika mpaka sasa?Kuna vitu ni aibu kwa nchi wameona wizi wa rasilimali hautoshi mpaka na damu zetu wanataka tena, wanasiasa wa kiafrika ni mashetani kabisa
Kwa aina ya uongozi huu tulionao utasubiri sana huo uthibitishoKwani imethibitika kuwa kuna mwanasiasa yoyote anahusika mpaka sasa?
Wakuu amani ya Mungu iwe nanyi.
Kumekua na taharuki kwa wakazi wa Temeke, Tandika, Mbagala na Vikindu kwa ujumla wake.
Imejitokeza sintofahamu ya watoto kupotea na kukutwa wakiwa wamefariki huku miili yao ikiwa haina baadhi ya viungo.
Majuma kadhaa yaliyopita maeneo ya Mbagala Mgeni nani miili ya watoto imekutwa huku baadhi ya viungo vikiwa havipo.
Wiki iliyoisha maeneo ya Tandika mtoto wa jirani yangu alikoswa kuchukuliwa na watekaji mara baada ya kufanya jaribio la kumteka mtoto, bahati nzuri mtoto alikimbia na kuja kusimulia kwa wazazi wake.
Juzi maeneo ya Kisemvule inaripotiwa mama mjamzito amekutwa amefariki huku sehemu zake za siri zikiwa zimenyofolewa.
Jana maeneo ya vikindu(kazole) nimepewa taarifa ya kukutwa kwa miili ya watoto wawili wanaodaiwa kuwa na miaka kati ya 11 mpaka 14 ikiwa haina baadhi ya viungo.
Vyombo vya habari mpaka sasa sijasikia ikiripoti tokio lolote kati ya hayo juu au yanayo shaabiana na hayo.
Rai yangu kwa mamlaka husika tunaomba wanaotenda haya matukio muwashughulikie haraka sana watatumalizia watoto wetu na jamaazetu.
Wanatuulia watoto wetu halafu na kura tuwape. Ajabu ya kobe kupiga mswaki.ni kweli 100%
Tuwanyime kuraChaguzi nyingi zimegubikwa na damu za wasio na hatia.