Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,628
- 2,720
Ametakasika Mola wetu na mnayomshirikisha nayo. Mola wetu ni Mwenye Sifa zote njema. Na Sifa zake ni Kamilifu na ameepukana na upungufu na udhaifu. Sifa zote njema zinamstahiki Yeye. Yeye ni Mjuzi, Muweza wa kila kitu na Anayefanya analolitaka.Na ndio mana ukisoma maandiko ilifika mahali Mungu mwenyewe alihuzunika sana kumuumba binadamu
Ni kweli. Vyombo vya habari vinatuangushaVyombo vya habari vinasubiri mamlaka watoe go ahead na hints za kuripoti.
Wako bize na wazee wa yanga maana huko unaropoka chochote hamna shida yoyote.
Ndo ivo ndgu sio mahali pa kupata habari huko ni umbeya na trending za tiktokNi kweli. Vyombo vya habari vinatuangusha
vyombo vya habari vinatoa habari za kina mzee magomaNdo ivo ndgu sio mahali pa kupata habari huko ni umbeya na trending za tiktok
Nimesikia habari hizo kwenye chombo kimoja Cha habari wakisema hizo ni habari za uzushiHABARI MPYA ILIONIFIKIA MUDA HUU:
Jana vingunguti wamekutwa watoto wanne wamefariki huku baadhi ya viungo na sehemu zao za siri zikiwa hazipo (zimenyofolewa).
Mbali na vingunguti pia maeneo ya ulongoni kunamtoto wakiume amepotea mpaka sasa hajapatikana
hakuna cha uzushi ji uhalisia mtupu, kama unandugi au jamaa maeneo tajwa hapo juu muulizie akupe ukweliNimesikia habari hizo kwenye chombo kimoja Cha habari wakisema hizo ni habari za uzushi
watoto wa viongozi wapo salama sababu wapo ndani ya fensi yenye ulinzi mkali na kwa wanaosoma wanaenda kwa school bus na kurudi kwa school bus au wapo bwenini huko kama sio nje ya nchiWatoto wenye umri wa miaka 3 hadi 5 ndo MOST WANTED, Wazazi tuchungeni vijana wetu wenye umri huo.
Gulio TanzaniaWazazi ambao watoto wao wanasoma shule ya Msingi Mianzini Mburahati Dar es Salaam, pamoja na shule ambazo zipo jirani, wamevamia shule hiyo kushinikiza kupatiwa watoto wao, kufuatia uwepo wa taarifa za baadhi ya watoto kutekwa.
Chanzo ITV
View attachment 3049116