Kumbe kutetea kotoe fashiti lkn umejaza udongo kichwani?Muoga tu huyu mama
Ukicheza tu vibaya na madhabahu, iwe kwa maneno au kwa vitendo, hauchelewi kuwa "one term president"Leo katika maadhimisho ya baba wa taifa hayati Julius Kambarage Nyerere amefanyiwa ibada na viongozi mbalimbali mkoani Kagera akiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN.
Minongo'no mikubwa imekuja baada ya yeye kupewa kiti chake kwenye nyumba ya ibada. Hii naona kama nyumba ya ibada haiaminiki kwa kile kilichofanyika ka sababu ya usalaama wake? Au hii ni kawaida kwa kiongozi mkuu wa nchi.
Au kitendo kilichofanyika ni kawaida kwa mkuu wa nchi kupewa kiti chake?
Nimeuliza tu iliniweze kufahamu kama jambo hili ni la kawaida kwa wakuu wa nchi kuingia kwenye nyumba ya ibada na viti vyao.
View attachment 2387240
Limevaa shati lenye picha ya mke wa mtu.. Huyu jamaa inaonekana mke wake hana wivu kabisa😂😂Nimemuona chalamila kwa mbali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukicheza tu vibaya na madhabahu, iwe kwa maneno au kwa vitendo, hauchelewi kuwa "one term president"
Ni bora kutàfuta uwakilishi, kuliko kuonyesha wewe kuwa ni maarufu na mkuu katika nyumba hizi za ibada. Yule mwenye kujiinua nafsi yake hutezwa, na mwenye kijishusha nafsi yake mbele za Mungu huinuliwa.
Hana Imani uoga ndo umetanda. Anayotenda hayamfuraishi mtu yoyote.Leo katika maadhimisho ya baba wa taifa hayati Julius Kambarage Nyerere amefanyiwa ibada na viongozi mbalimbali mkoani Kagera akiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN.
Minongo'no mikubwa imekuja baada ya yeye kupewa kiti chake kwenye nyumba ya ibada. Hii naona kama nyumba ya ibada haiaminiki kwa kile kilichofanyika ka sababu ya usalaama wake? Au hii ni kawaida kwa kiongozi mkuu wa nchi.
Au kitendo kilichofanyika ni kawaida kwa mkuu wa nchi kupewa kiti chake?
Nimeuliza tu iliniweze kufahamu kama jambo hili ni la kawaida kwa wakuu wa nchi kuingia kwenye nyumba ya ibada na viti vyao.
View attachment 2387240
Limevaa shati lenye picha ya mke wa mtu.. Huyu jamaa inaonekana mke wake hana wivu kabisa😂😂
Hivi jamaa amewafanya nini?Mbona ni mtu wa masihara yasiyokera?Muacheni jamani!Khaaa!🤔🤔🤔🤔Chalamila bwana. Ameshamjua mama ni mtu wa kupenda makuzi ndio maana kavaa shati lenye picha ya samia badala ya nyerere. Hapo kwa akili ya chalamila ni kama anamsanifu tu.