Imekaaje Rais Samia kwenda na kiti chake kwenye ibada leo tarehe 14.10.2022 mkoani Kagera?

Imekaaje Rais Samia kwenda na kiti chake kwenye ibada leo tarehe 14.10.2022 mkoani Kagera?

Wewe popoma jibu hoja! Magufuli alikuwa anaingia na kiti chake Kanisani, au huko msikitini kama alivyofanya huyu mama?

Na unafahamu huo utaratibu wa kuingia na viti maalum vya Urais kwenye makanisa ya Kikatoliki hufanywa na Marais ambao ni Waislam? JK alijaribu kufanya hivi, akazuiliwa na na Askofu wa Jimbo la Iringa na rais wa TEC wa wakati huo!

Jibu hoja! Badala ya kujipendekeza na kuendeleza ule unafiki wako wa miaka nenda.
Tuwekee ushahidi huo acha UDINI kenge wewe.
 
Magufuli aliingia msikiti gani na hayo mamitambo ya usalama? Maana nakumbuka mara nyingi aliwakilishwa na Waziri Mkuu wake. Na wakati huo huo yeye mwenyewe alipohudhuria ibada Kanidani, mara zote hakwenda na kiti chake! Badala yake alikaa kwenye madawati ya kawaida kabisa awapo Kanisani kama waumini wengine.

Kwa taarifa yako, hili suala la Marais kuwa na Viti vyao maalum kanisani! Limekuwa likijitokeza zaidi kwa Marais kutoka imani nyingine!

Na kama ulikuwa hufahamu, Askofu Ngararekumtwa wa Jimbo la Iringa enzi za awamu ya nne, na akiwa ni rais wa Baraza la Maaskofu (TEC), alishawahi kumzuia Rais wa wakati huo kuingia na kiti chake Kanisani! Na huyo Rais alilazimika kuahirisha kuhudhuria hilo tukio. Maana kwa Kanisa, hiyo ni dharau.
Uwongo mwingine
 
Jikite kwenye hoja. Maana dakika 0 tu hapa utaanza kuwalilia Mods, kutokana na tabia yako ya kupenda kudeka kama katoto ka mwisho!

Unaanza kutukana, ukijibiwa unakimbilia kuomba huruma ya wana jukwaa na Moderator.
Kumuuliza Mtu kuwa kaambiwa Mimi ni Msemaji wa Mwamposa ndiyo Tusi / Kutukana?

Tafadhali utakuwa Unaugua Akili sema tu hujajigundua ila tuliokugundua tunakushauri wahi Mirembe Mental Hospital Mkoani Dodoma ukaanze Matibabu yako ya awali sawa?
 
Kumuuliza Mtu kuwa kaambiwa Mimi ni Msemaji wa Mwamposa ndiyo Tusi / Kutukana?

Tafadhali utakuwa Unaugua Akili sema tu hujajigundua ila tuliokugundua tunakushauri wahi Mirembe Mental Hospital Mkoani Dodoma ukaanze Matibabu yako ya awali sawa?
Yaani uache kwenda wewe ambaye kila mtu anafahamu tatizo lako! Niende mimi ambaye kila mtu anafahamu nipo mentally fit!!
 
Wakati mwingine nashindwa kuelewa msingi wa haya malalamiko, mengi mpaka kuhusu viti.

Hivi tunashindania vitu vidogo ili iweje? tangu lini mkristu akawa wa kuhangaikia haya mambo ya ulimwengu? mnaenda kinyume na maandiko!.

Mkristu ameshaambiwa kwenye maandiko, aheshimu mamlaka zilizopo, sasa kama mamlaka zimeamua kuingia na kiti chao shida inatokea wapi? ajabu mnaanza kushindana na mamlaka!.

Tatizo linakuwa kubwa kama chimbuko la jambo huwa ni wanasiasa, hivyo mashabiki wa vyama husika hujikuta wanaingia kwenye malumbano bila kuruhusu bongo zao kutafakari, hivyo kuishia kuchotwa akili na wanasiasa.
Wewe ni JUHA
 
Back
Top Bottom