The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Bado, wafafanue kwa kina. Ni pesa za Samia au za wananchi? Je kama ni za wananchi hayo mabadiliko ya kutoka kuwa za Samia na kuwa za wananchi yametokea lini na yamesababishwa na nini? Maji wataita mma muda si mrefu hawa wahuni.Tulizoea kuwasikia machawa wakisema Samia katoa hiki, katoa kile kana kwamba ilikuwa ni fedha yake na si yetu. Baada ya kubao kugeuka, sasa wanaramba matapishi.
Wanatuhadaa kuwa pesa ni yetu wakati ni ya Samia. Ina maana hawakujua kuwa tunajua kuwa ni pesa yetu ndiyo wanatumia kujineemesha na kutuumiza? Shame on them!
Knockout ya mama, Goli la mama,
Aisee hii nchi bila Gen Z ilishafanywa ya kimama sana,
Sasahivi kelele zote kwishaa, Timu zinafungwa huko hata hakuna anaejua
Mandonga nae akaja na ngumi ya mama.Knockout ya mama, Goli la mama,
Aisee hii nchi bila Gen Z ilishafanywa ya kimama sana,
Sasahivi kelele zote kwishaa, Timu zinafungwa huko hata hakuna anaejua
Tulizoea kuwasikia machawa wakisema Samia katoa hiki, katoa kile kana kwamba ilikuwa ni fedha yake na si yetu. Baada ya kubao kugeuka, sasa wanaramba matapishi.
Wanatuhadaa kuwa pesa ni yetu wakati ni ya Samia. Ina maana hawakujua kuwa tunajua kuwa ni pesa yetu ndiyo wanatumia kujineemesha na kutuumiza? Shame on them!
Muda sio rafiki...Maji wataita mma muda si mrefu hawa wahuni.