Imekuwaje Ibrahim Ajib ana miaka 26 wakati alisoma darasa moja na mdogo wangu mwenye miaka 36

Imekuwaje Ibrahim Ajib ana miaka 26 wakati alisoma darasa moja na mdogo wangu mwenye miaka 36

Kuna jamaa wakati nipo form five yeye alikuwa form six na alikuwa anachezea Serengeti Boys ile Under 17 na alienda Gabon kwenye yale mashindano ya Afcon umri wake nilitilia shaka[emoji23][emoji23][emoji23]
This is possible, nilianza standard 1 nikiwa na 5 years, advance nilimaliza na miaka 17, kuna jamaa humu anaitwa ROBERT HERIEL nilisoma nae shule moja ya advance Ila yeye tulivyoingia form six alihama shule, na kipindi hicho kwenye boli nilikuwa nakichafua balaa, bahati mbaya sikufanikiwa tu kutoboa[emoji3][emoji3] kama ningefanikiwa namm ningesema nna miaka 10 yaan ningechezea zile national team za under 10[emoji12][emoji12] maana nilikuwa mdogo mnoo
 
Huu ni muujiza naweza kusema hivyo
Mdogo wangu ana miaka 36,alianza darasa la kwanza na Ibrahim Ajib
Ilikuwakuwaje ,na inawezekanaje Ajib awe na miaka 26
Classnate wa primary kupishana miaka kumi????
Wachezaji wengi wa Kiafrika wanapunguza umri. Na jambo hili halihitaji mjadala.

Na wa kulaumiwa ni Serikali, na pia Mashirikisho ya mpira wa miguu. Maana ni rahisi sana kubaini uongo wao. Ila kwa bahati mbaya, wanafumbia macho.
 
Huu ni muujiza naweza kusema hivyo
Mdogo wangu ana miaka 36,alianza darasa la kwanza na Ibrahim Ajib
Ilikuwakuwaje ,na inawezekanaje Ajib awe na miaka 26
Classnate wa primary kupishana miaka kumi????
ina jamaa kafyeka miaka 10, ha ha ha

no wonder mwili unagoma uwanjani ... kumbee
 
Huu ni muujiza naweza kusema hivyo
Mdogo wangu ana miaka 36,alianza darasa la kwanza na Ibrahim Ajib
Ilikuwakuwaje ,na inawezekanaje Ajib awe na miaka 26
Classnate wa primary kupishana miaka kumi????
Acha fujo Christiano Ronaldo ana miaka 38 na ndio mchezaji anayelipwa kuliko mwanamichezo yyte duniani. Muhimu kiwango usikariri
 
Back
Top Bottom