Imekuwaje Ibrahim Ajib ana miaka 26 wakati alisoma darasa moja na mdogo wangu mwenye miaka 36

Imekuwaje Ibrahim Ajib ana miaka 26 wakati alisoma darasa moja na mdogo wangu mwenye miaka 36

Ajibu ni kinda
 
Attachments

  • FlJLJLHXkAAHWT3.jpeg
    FlJLJLHXkAAHWT3.jpeg
    80.2 KB · Views: 5
mkude je?
Mkude kwa miaka 10 kacheza vizuri pale Simba. Kama kadanganya kwenye umri ni miaka 2 tuu.
Ajibu katika maisha yake ya soka msimu ule mmoja tuu aliocheza yanga ndio ulikuwa msimu bora kwake.
 
Huu ni muujiza naweza kusema hivyo
Mdogo wangu ana miaka 36,alianza darasa la kwanza na Ibrahim Ajib
Ilikuwakuwaje ,na inawezekanaje Ajib awe na miaka 26
Classnate wa primary kupishana miaka kumi????
Kwani walianza shule wakiwa na umri sawa?
 
Shida inaanzia kwa desturi hiyo ya wazungu kuanza kushusha thamani ya mchezaji anapopindukia 30.

Mtu mweusi kuanza kuchoka uwanjani ni 35-7 na kumalizaka kabisa 42.

Mpira wenyewe tunaanza kucheza 20's, mwingine anaanza kushine 25, yaani acheze miaka 5 tu uanze kumpa mikataba ya matazamio, mwaka, miezi 6. Hiyo wangefanyiana wenyewe Makuku ya maabara.
 
Nakubaliana na wewe
 
Mi nawazaga sana na kujjona nina dharau e
Kumuita onyango dogo kwamba onyango namzidi umri

Hapana wawage wakweli
 
Africa kudanganganya umri kawaida, nina rafk yangu alikua mbao fc U20 wakati huo mimi na miaka 23 na tulivokuwa shule alikua anasema ananizidi mwaka mmoja shangaa hapo!! Africa tuachane na mambo ya umri hatuwezani nayo
 
Huu ni muujiza naweza kusema hivyo
Mdogo wangu ana miaka 36,alianza darasa la kwanza na Ibrahim Ajib
Ilikuwakuwaje ,na inawezekanaje Ajib awe na miaka 26
Classnate wa primary kupishana miaka kumi????
Mdogo wako ameanza shule mwaka gani na amemaliza shule mwaka gani na ni shule gani aliosoma?
 
Back
Top Bottom