Imenichukua muda kuelewa kuwa kama mwanamke anakuambia kuhusu matatizo na issues zake wala hahitaji suluhisho bali umsikilize na umpe attention

Imenichukua muda kuelewa kuwa kama mwanamke anakuambia kuhusu matatizo na issues zake wala hahitaji suluhisho bali umsikilize na umpe attention

Unpredictable ni wewe wanawake wanaendana na jinsi unavyo mtreat
 
Wanawake na hela ni ndugu wa baba mmoja na mama mmoja

Wakiniombaga hela nawauliza hivi kwanini ninyi wanawake mnapenda sana pesa.. napokea tusi tu hapo na mchezo unaisha hapo
 
Na bado ukiishia kuwa msikivu na ukimpa attention anakuuliza "imekuwaje leo umeniskiliza hivi, kun kitu unanificha"

Such unpredictable creatures, mehn.
Kasome kitabu cha Men are from Mars and women are from venus by Dr. John Gray.
 
Back
Top Bottom