Unaweza kupigana kisa mwanamke?mapenzi huzalisha emotional feeling za ajabu ambazo ukiziendekeza ni rahisi sana kufanya lolote mkuu
sijawahi bt mambo ya emotional feeling ni hatari sana mkuuUnaweza kupigana kisa mwanamke?
Katika maisha yangu yote kitu ambacho siwezi kufanya ni kupigana kisa mwanamkeSasa angalia sauda anakula life
Mpiganaji yupo ahera , mwingine jela
Usigombee ndizi wakati mgomba hukuotesha wwe
Mkuu mimi ni mchakataji haswa wa hizi papuchi kabla sijapunguza na kuoa, nilishawahi kufumania wapenzi wangu mara kadhaa, sikuwahi hata kuinua mdomo kumtukana nageuzia majeshi kwingine.sijawahi bt mambo ya emotional feeling ni hatari sana mkuu
Wewe sema uliyenaye umemchoka unatafuta sababu za kumuacha ili umpate atakaye kupa sababu ya kupigana hadi ufe.Unaweza kupigana kisa mwanamke?
Acha hoja za kitoto.Unakuta dume lenzako limekuwahi liko ndani kwa nini usiaondoke ukaanzishe koloni kwingineWewe sema uliyenaye umemchoka unatafuta sababu za kumuacha ili umpate atakaye kupa sababu ya kupigana hadi ufe.
Mbali na yote ugomvi wa jinsi hii upande mmoja ndio unashida wewe mtu unamkimbia anakufuta nyuma akituhumu umechukua demu wake huku akikutolea maneno makali unajikuta unazichapa sio kwa sababu ya mbunye bali kwa maneno makali anayoyatoa mwenzako. Ila kupigania demu ni umama sana.
Utelezi original.Acha hoja za kitoto.
Kupigana kisa mwanamke ni uzwazwa, haya faida ya hao ni nini?
hahaha.Utelezi original.
Ndugu yangu wakati mwingine inatokea tu limtu linakufakamia inabidi tu for self defencehahaha.
Chief, Usigombanie mwanamke. Narudia usije kujaribu
Chief, ukiona ni ugomvi tafuta msaada achana na kutafuta ligi.Ndugu yangu wakati mwingine inatokea tu limtu linakufakamia inabidi tu for self defence
hahahaHuo ni udhaifu sana
Halafu unakuaje na koloni moja hayo ni matumizi mabaya ya nguvu za kiume