Halafu ukishakimbia,,,,kesho yake hapo chuoni utatembea ukiwa na baibui au?maana utapata aibu ya mwaka,,,ni vyema kuzungumza tu,,,kama mwanamke ni wako? chukuwa,,, kama atassema hakuhitaji wewe ondoka zako,,,sasa mbaya ni pale mwanamke anakuchaguwa wewe,,, na jamaa analazimisha kumchukuwa mwanamke kwa nguvu,,,,,utafanyaje mkuu?bado namlaumu muuaji,,,pengine hata msichana alimchaguwa marehemu badala ya huyo muuaji,,,mapnz hayalazimishwi mkuu,,,,Mimi ishatokea siku moja ,,,jamaa kanikuta na demu Fulani,,,akatokea,,akanambiya huyu demu wangu,,,nikamuuliza msichana ,,,huyu nani?akanambiya jamaa yangu ila tuliachana muda sana tu,,,,,ananifanyia fujo tu,,,mm nikamwambiya jamaa,,,huyu mwanamke anasema hana mahusiano na wewe,,,so muache aende zake,,,jamaa akaomba ring na Mimi,,,japokuwa sikuhitaji ugomvi lakini ilibidi nijihami,,,mwisho wa mchezo jamaa akasema tukapigane kwenye taa sababu anahisi kwenye mikono nimeweka Mawe,,,,,kufika kwenye taa ,,kilichomkuta,,,..,akakubali yaishe,,,..kwahyo mkuu sometimes unapigana kujihami tu,,then unaacha yaendelee,,,mfano kama mwanamke angenambiya huyu ni bwana wangu,,basi ningeondoka zngu,,,sihitaji ugomvi usio na maana,,,