Imenishangaza: Dunia ya leo bado kuna wanaume wanapigana mpaka kuuana kisa mwanamke?

Imenishangaza: Dunia ya leo bado kuna wanaume wanapigana mpaka kuuana kisa mwanamke?

Hivi mkuu kama hatuishi kwa kuangalia watu basi kwann hatutembei uchi?hivi atokee mwanaume akwambiye huyu mwanamke ni wangu,,,halafu mwanamke anasema mimi huyu Simjuwi,,,,,halafu mwanaume anachukuwa mwanamke kwa nguvu wewe unatimua mbio,,,aisee wewe ni zaidi ya mwanamke,,,, kwa kifupi hiyo mwanamke anahesabu alikuwa na shoga yake,,,sio mwanaume wake,,,, kama mwanamke atasema hakujuwi,,,kwanza heshima halafu mengine baadae,,,,narudia tena mpumbavu ni yule aliyeanzisha ugomvi,,,,kama mwanamke hakutaki wewe sepa zako....wacha maneno
Wewe Ni zwazwa
Narudia tena wewe Ni zwazwa
Na inawezekana una demu mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss unachanganya mambo na unahama kwenye mjadala, Tofautisha mke na changu/mpenzi.. hapa tunazungumzia mpenzi.

Hakuna mtu atakaekuletea upuuzi huo kwa mke wako, hayupo kabisa

Mimi ni mkurya haswa nilekulia kijijini, nimeshiriki na kuona athari za kupigana ukiwa na hasira.Sio muoga kama unavyofikiri

Man, cha kwanza ukikutwa na kadhia kama hiyo ya jamaa kutokubali kushindwa na kutaka kukudhalilisha, narudia muondoe mwanamke eneo la tukio then jilinde kwa kurudisha mapigo huku ukiomba msaada utakositisha huo ugomvi,, usiendeleze ligi.

Ugomvi wa mapenzi huwa hauiishi kizembe.

Halafu mkuu unachanganya mambo sana, ubakaji umeingiaje hapa tena na kupigana mitama.

umehama kwenye mjadala chief.
Najaribu kukuonyesha msisitizo,,,maana umesema huwezi kupigana sababu ya mwanamke,,, kumbuka hata mkeo pia ni mwanamke,,,,, hivi unamkuta mkeo na njemba ,,baada ya kujitambulisha jamaa anampa vibao mkeo,,mbele yako,,,sasa unafanyaje?utatimua mbio?utajibu mapigo?hapo ukipigana utakuwa unapigania mwanamke?mkuu wapo wanaume wapumbavu wa style hyo,,,unasalimu amri na bado unapigwa mbele ya mkeo,,,we fight for honor not for a woman
 
Kabisa chief, binadamu wote ni wa kuwa nao makini sana...wewe ni mbabe wa kivita unajua kilichomkuta Thomas Sankara kutoka kwa rafiki yake mkubwa na aliyemuamini.
Dah Thomas Sankara apumzike kwa amani,. ...shujaa aliyetutoka
 
Aisee inabidi tujue huyo sauda kawapa nn hao mabaharia mpaka kufikia kuuwana [emoji17] zamani wanawake ndio walikuwa wanalia kwenye mapenzi saiz ni vice versa mara hamida mara huyu sauda tena.
 
nakuambia acha tu kuna mtu akikushika ni kama umepigwa shoti hapo bado hajakukiss wala kukunyonya na bado [emoji533] weweee unajihisi upo angani unapaa kwa raha
hii inatokea kwa watu baadhi sijui damu zinapatana sana au damu yako inakuwa inasisimka ukiwa na huyo mtu sasa huyu mtu akikuacha kumsahau ni tabuuu kubwa

kuna mwingine unampenda tu kawaida lakin husisimki vile hata akikuacha haina shida
Very true, ... Ndo maana siwezi kulaumu mtu anayechepuka. .lazima Kuna strong reason behind .sema n vile watu hawataki kukubaliana na uhalisia
 
Mtu umemkuta anamkandamiza mkeo, pambana kutetea himaya yako.

Or else wewe ni dhaifu, waachie wanaume rijali waendelee kumwaga oil
Mpaka mke wangu kaamua kunisaliti ina maana tayari ameona kuna mambo simfai, Sina haja ya kupigana mpaka hapo.

Zaidi nitampa kibali cha kuendelea zaidi na mimi namtafuta atakaenifaa baada ya hapo kuanzisha nae maisha mapya.

Mambo mengine ni kujitafutia matatizo, wewe mkeo kamwambia lijamaa sina mume, au mume hanitombi vizuri njoo unisugue, unamkuta anasuguliwa unaanzisha vagi mpaka mnauana..HUNA AKILI.

Unaua unenda jela unaacha wazazi wako wanateseka, yeye anapata dume lingine analiwa kwa uhuru zaidi... huku akiwahudumia wazazi wake.., na wazazi wako hawajali tena.

Hebu tufanye kama kisa cha lulu ni kweli alimsukuma jamaa(Kanumba) mpaka akafa kwa sababu hizo za wivu.Baada ya kuanzisha mtiti akiwa amelewa alipofumania text za mahaba kwa bibie.

Sasa ona maisha ya mama kanumba na mama lulu, Yakoje?

Usitumie nguvu kama kinga bila kushirikisha Akili
 
Back
Top Bottom