Imenishangaza: Dunia ya leo bado kuna wanaume wanapigana mpaka kuuana kisa mwanamke?

Mkuu wapo na tunafanya makubwa tu ya ushirikiano, wale walikuwa na machangu/wapenzi sikuona haja ya kusnzisha bifu kwa ajili yao, na wao walipiga wakaondoka
Ila kuwa makini nao sana rafiki wa namna hiyo. Kama waliweza kukuzunguka katika mapenzi, kaa ukijua pia wanaweza kukuzunguka katika hayo makubwa mnayofanya wote hata kama ni biashara au michoro ya pesa. I'm a psychologist ninajua
 
Yaani La Hamida Halijapoa, Tayari Jingine La Sauda
Hakika Safari Ni Ndefu Sana. Ugomvi Hauna Maana
Unamwacha Aende Zake Kwa Amani Kabisa
Ukiona Unampenda Vumilia
 
Kabisa chief, binadamu wote ni wa kuwa nao makini sana...wewe ni mbabe wa kivita unajua kilichomkuta Thomas Sankara kutoka kwa rafiki yake mkubwa na aliyemuamini.
 
Yaani La Hamida Halijapoa, Tayari Jingine La Sauda
Hakika Safari Ni Ndefu Sana. Ugomvi Hauna Maana
Unamwacha Aende Zake Kwa Amani Kabisa
Ukiona Unampenda Vumilia
Kabisa chief.
 
Sasa angalia sauda anakula life
Mpiganaji yupo ahera , mwingine jela

Usigombee ndizi wakati mgomba hukuotesha wwe
Na soko lake limeongezeka maana njemba kibao zitakuwa zinapigana kikumbo kuona yaliyomo kama yamo ikapelekea watu kutoana uhai
 
Mkuu usiwalaumu maana itaonekana wanagombea mwanamke kumbe kuna mmoja wao alikuwa anajihami na shambulizi pamoja na kwamba source ya ugomvi ni mwanamke.

Mara nyingi kwenye ugomvi wa pande mbili huwa kuna upande mmoja ambao umeanzisha hivyo upande mmoja unaweza ukawa hautaki ugomvi ila kwa kuwa unapigwa kwa lazima kwa ngumi za hapa na pale sasa katika kujihami kutokana na mazingira sio salama kukimbia basi wananzengo tunamalizia kwa kusema wamepigana kisa demu kumbe kuna mmoja alikuwa hataki ugomvi.
 
Chief hawa wamepigana, Ilikuwa ni hostel na ule mzuka wa wanafunzi wenzao kila mmoja akataka aoneshe ubabe ili ajimwambafy na hapa ndio mmoja akamuwahi mwenzake ni kitu kizito akaenda kufia hospitali
 
Nakazia hapa,

nakuambia acha tu kuna mtu akikushika ni kama umepigwa shoti hapo bado hajakukiss wala kukunyonya na bado 🍆 weweee unajihisi upo angani unapaa kwa raha
hii inatokea kwa watu baadhi sijui damu zinapatana sana au damu yako inakuwa inasisimka ukiwa na huyo mtu sasa huyu mtu akikuacha kumsahau ni tabuuu kubwa

kuna mwingine unampenda tu kawaida lakin husisimki vile hata akikuacha haina shida
 
Dinazarde Ujue unanitia nyege na hizi reply zako.

Hebu andika kigumu basi
 
muda ndo huu wa kujiweka kwa mtoto sauda,mafala wote wamegawana majengo.mmoja yupo monchwari mwengine jela.
 
Mwanaume akiwa muoga wa kupigana utasikia anakwambia nikiona mtu anamtia demu wangu au mke wangu, namuacha aendelee nae.
Kumbe anajua yeye ni dhaifu hivyo bora apige ukimya
 
Hahah kwamba ukijambafy nyuma ya keyboard ndio unakuwa kama tyson sio?
 
Back
Top Bottom