LOVE U JF
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 2,157
- 1,681
Mm mtu akila mke wangu namtoa busha yaani hyo situmii hata ghalama
Wewe sema uliyenaye umemchoka unatafuta sababu za kumuacha ili umpate atakaye kupa sababu ya kupigana hadi ufe.
Mbali na yote ugomvi wa jinsi hii upande mmoja ndio unashida wewe mtu unamkimbia anakufuta nyuma akituhumu umechukua demu wake huku akikutolea maneno makali unajikuta unazichapa sio kwa sababu ya mbunye bali kwa maneno makali anayoyatoa mwenzako. Ila kupigania demu ni umama sana.