Imenishangaza: Dunia ya leo bado kuna wanaume wanapigana mpaka kuuana kisa mwanamke?

Imenishangaza: Dunia ya leo bado kuna wanaume wanapigana mpaka kuuana kisa mwanamke?

Aghstafillah πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜•
Zwazwa mimi?

Au basi, usirudie tena. NimekusameheπŸ˜•
 
mmmh ngumu kumeza,,,...
unajua tatizo letu vijana ni 1 tu, ni kuzama katk mapenzi mzima mzima,yaani unapenda mpaka kupitiliza, nna mshkaji wangu mmoja tulikuwa chuo. sku 1 tulikuwa tuna present, wote tuko mbele, sasa jamaa yupo pemben yangu, nimeshapresent kipande changu na yeye ashapresent, sasa ukaja wakat wa maswali, naona jamaa anadondoka chini kabisa nguv zmemuisha tkamuokot tkamplek geto..kmbe alkuw na ttzo bhna, manzi wke almuacha hiyo hali ikawa inamrudia rudia kila sku, mpaka alisapu masomo kibao tu. Alipenda binti mmoja alaf bint akaja kumtamkia hamtaki, wakati huo tupo diploma (hatunaga mkopo). Binti akapata jamaa wa degree mwenye mkopo,.
Jamaa mpaka anakuja kukaa sawa ni kama miezi 6 hiv ilimchukua, sema wadau hatukumtupa mkono tlishrkiana nae bega kwa bega tkampa experience ikabid mpaka kutunga uongo kuwa na sisi tuliachwa vibay kuliko yeye..ndo alikaa sawa...

kingine naweza sema ni ushamba wa mapenzi, unakuta jamaa ndo dem wke wa kwanza alaf kapewa vitu adim ambavy hajawahi pata toka azaliwe, akaona ndo amefika, pasipo kujua haya mambo hubadilika...

NB, tunatakiwa kuyachkulia mapenzi kama kitu cha kawaida sana tusiwek aslimia kubwa sana tukajiaminisha tnapendwa, haipo hivyo..mda wwte yanabadilika..
nliona post 1 jamaa anasema
(nimefikia kiwango ambacho hata dem anambie mm na ww bas kuanzia leo wala hata sistuki)..kuna kitu cha kujifunza.

Poleni kwa wazazi ambao wamepata msiba huu,.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli unaouma huu.
 
nakuambia acha tu kuna mtu akikushika ni kama umepigwa shoti hapo bado hajakukiss wala kukunyonya na bado [emoji533] weweee unajihisi upo angani unapaa kwa raha
hii inatokea kwa watu baadhi sijui damu zinapatana sana au damu yako inakuwa inasisimka ukiwa na huyo mtu sasa huyu mtu akikuacha kumsahau ni tabuuu kubwa

kuna mwingine unampenda tu kawaida lakin husisimki vile hata akikuacha haina shida
Bwana we Umenikumbusha kitu, usimalize maneno nipo km nyingi mno kutoka babe alipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa angalia sauda anakula life
Mpiganaji yupo ahera , mwingine jela

Usigombee ndizi wakati mgomba hukuotesha wwe
Miye ningewafumania hata nisingepaniki,sanasana ningemuachia kidume mwenzangu amalizie halafu na miye ningependa juu ya kifua cha mwanamke,tunamt*mba mpaka hamu zetu ziishe hafu kiroho safu tunaongozana na kidume mwenzangu kwenda kugonga supu
 
Mkuu umesema ,,, wewe ni zwazwa,,tena wewe ni zwazwa...au unakana comment yako?rejea kwenye comment yako....
Huyo unaemzungumzia sio mimi, basi utakuwa umeniquote kwa bahati mbaya.

Rudi mcheki jamaa aliyekuambia hivo.. nimemuona
 
Miye ningewafumania hata nisingepaniki,sanasana ningemuachia kidume mwenzangu amalizie halafu na miye ningependa juu ya kifua cha mwanamke,tunamt*mba mpaka hamu zetu ziishe hafu kiroho safu tunaongozana na kidume mwenzangu kwenda kugonga supu
wewe ndio mwanaume sasa
 
Attachments

  • Screenshot_20200625-172356-1.jpg
    Screenshot_20200625-172356-1.jpg
    13.3 KB · Views: 14
Mpaka mke wangu kaamua kunisaliti ina maana tayari ameona kuna mambo simfai, Sina haja ya kupigana mpaka hapo.

Zaidi nitampa kibali cha kuendelea zaidi na mimi namtafuta atakaenifaa baada ya hapo kuanzisha nae maisha mapya.

Mambo mengine ni kujitafutia matatizo, wewe mkeo kamwambia lijamaa sina mume, au mume hanitombi vizuri njoo unisugue, unamkuta anasuguliwa unaanzisha vagi mpaka mnauana..HUNA AKILI.

Unaua unenda jela unaacha wazazi wako wanateseka, yeye anapata dume lingine analiwa kwa uhuru zaidi... huku akiwahudumia wazazi wake.., na wazazi wako hawajali tena.

Hebu tufanye kama kisa cha lulu ni kweli alimsukuma jamaa(Kanumba) mpaka akafa kwa sababu hizo za wivu.Baada ya kuanzisha mtiti akiwa amelewa alipofumania text za mahaba kwa bibie.

Sasa ona maisha ya mama kanumba na mama lulu, Yakoje?

Usitumie nguvu kama kinga bila kushirikisha Akili
Facts,na sasa familia yote kabaki mama tu
 
Unaweza ukamuona kijana anatembea mtaani na suti nzuri,masikini kumbe yupo dunia ya mwaka 1932.
Zamani watu walipigania wanawake kwa sababu hata kumpata tu ilikuwa shughuli,siku hizi hata viimoji vya whatsapp vinaongea na wanaelewa haraka kuliko hata maneno yao,hao vijana itakua kuna mmea walivuta.
 
Back
Top Bottom