Wewe sema uliyenaye umemchoka unatafuta sababu za kumuacha ili umpate atakaye kupa sababu ya kupigana hadi ufe.
Mbali na yote ugomvi wa jinsi hii upande mmoja ndio unashida wewe mtu unamkimbia anakufuta nyuma akituhumu umechukua demu wake huku akikutolea maneno makali unajikuta unazichapa sio kwa sababu ya mbunye bali kwa maneno makali anayoyatoa mwenzako. Ila kupigania demu ni umama sana.
Kwangu mm mkuu ni kushusha busha mlaji wa mke wangu kisha najiondokeaTuko pamoja chief, Hiki ndicho ninachokisema, kwa nini upigane?
Hapo utakuta mwanamke wako kadanganya kamwambia mwanaume hajaolewa, ama haumtombi vizuri..hapo vagi ya nini?
Uue upate shida yeye agongwe kwa Uhuru? Wanawake bado hawachaisha na kukuacha bila kupigana sio kuonekana wewe ni zoba hapa ndio wanaume tunakosea. Badala yake tunajizolea matatizo
Wewe sema uliyenaye umemchoka unatafuta sababu za kumuacha ili umpate atakaye kupa sababu ya kupigana hadi ufe.
Mbali na yote ugomvi wa jinsi hii upande mmoja ndio unashida wewe mtu unamkimbia anakufuta nyuma akituhumu umechukua demu wake huku akikutolea maneno makali unajikuta unazichapa sio kwa sababu ya mbunye bali kwa maneno makali anayoyatoa mwenzako. Ila kupigania demu ni umama sana.
Mkuu watu wengine hawataki zarau mfano mkeo unamkuta chumbani kwako hyo ni dharau kama unaona hyo mtombi unaweza kumumdu kwann usiwachakaze. Km unaona mbavu nn pisha ondokaNimesikia Habari za Chuo cha Utumishi Tanga, Vijana wamezichapa hadi mmoja akaaga dunia kisa binti Sauda Hussein waliyekuwa wanachangia kimapenzi.
Bado najiuliza huyu Sauda alikuwa na utamu kiasi gani? Mpaka hii mijemba kuona chuo kizima ni yeye tu wengine hawafai mpaka wakaanza kumgombania.
Mimi hata nimfumanie mke wangu analiwa achana na ile njia halali hata iwe kinyume na maumbile siwezi kufanya upuuzi wa kupigana, sanasana nitawapa uhuru wa kuwapisha ili walane vizuri.
Kijana, wazazi wanauza kila walicho nacho huko kijijini ili wakupe elimu unaenda kupigania mapenzi?
Sina haja ya kumpa R.I.P aliyekufa, hawa ni WAPUMBAVU.
Poleni sana wazazi wa hawa watoto, mmepoteza mali zenu kuwapa elimu na mitoto imekuwa MIPUMBAVU
Chief, Ukipatwa fanya ufanyavyo utafute usaidizi utakaositisha huo ugomvi.Wewe unaweza ukaukataa ugomvi Ila mwenzako akawa anautaka ugomvi sasa atakapo Amua kujitetea ndipo watu watasema mnapigania demu......... Never say never
Nalog off
Hapana aiseehvipi na wewe umewekeza?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Nakuelewa
Unakuta Mtu Kafanya Uwekezaji Mpaka Hisa Zote
Halafu Inakuwa Kama Wimbo Wa Mchizi Mox
Kuchora Kitu, Unaweza Kuchora Na Bado Usione Ndani
[emoji3][emoji16]
Hahaha hapo sawa, haina matatizo hiyoKwangu mm mkuu ni kushusha busha mlaji wa mke wangu kisha najiondokea
Haswa.....et mpaka utemwe ndio utafte mwingine, huo n umamaHuo ni udhaifu sana
Halafu unakuaje na koloni moja hayo ni matumizi mabaya ya nguvu za kiume
Mafala sana hayo majamaa.....sasa Sawda wamemuacha tutamla sisiSasa angalia sauda anakula life
Mpiganaji yupo ahera , mwingine jela
Usigombee ndizi wakati mgomba hukuotesha wwe
KabisaInashangaza.....