Imeniuma: Alikiba aeleza kusikitishwa kwake

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Kupitia ukurasa wake wa instagram msanii alikiba ameeleza kusikitishwa kwake na vyombo vya habari vya tanzania kutoupa uzito wowote na kutotoa ushirikiano wowote kushiriki kwake kwenye kampeni ya amani peace day one. amesema mashabiki wake kila kona ya dunia wamekuwa wakilalamikia suala hilo na imemuuma. "next time fanya kwa ajili ya tanzania sio kwa ajili ya alikiba. mimi ni binadamu naweza kosea bila kujua au kwa kujua pia. kwaiyo haipendezi kwa kweli kuna wapenzi wa kazi yangu wamelalamika sana kila kona ya dunia kuhusu kampeni ya peace one day kwanini hamkuna hilo!! imeniuma " . baadhi ya maneno ya alikiba kwenye ukurasa wake
 
Ata Ccm wenzake wamemtupa !!wasanii wetu ni wanafiki sana hakuna mtu aliyepigania haki zao kama Zitto Kabwe hasa kwenye ring tones (japo mimi sio mshabiki wake)mpaka walivyosahauliwa kwenye bunge la katiba ni wapinzani ndio waliomba kwa sauti ya juu kwamba wasanii waingizwe,leo wote wamesahau.
 

zitto waliona hafaiii akomaee na beat tu
 
pole sana my bro. K 4 LIFE .watabana wataachia wenyewe.
 
Uyu naye bado yupo ktk game?ata nlishàmsahau uyu binadamu.
 

Hahahhhh asante sana mkuu japo sentes ya mwanzo imenichekesha bt umeongea kila kitu.pole zake tu maana hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…