brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Kupitia ukurasa wake wa instagram msanii alikiba ameeleza kusikitishwa kwake na vyombo vya habari vya tanzania kutoupa uzito wowote na kutotoa ushirikiano wowote kushiriki kwake kwenye kampeni ya amani peace day one. amesema mashabiki wake kila kona ya dunia wamekuwa wakilalamikia suala hilo na imemuuma. "next time fanya kwa ajili ya tanzania sio kwa ajili ya alikiba. mimi ni binadamu naweza kosea bila kujua au kwa kujua pia. kwaiyo haipendezi kwa kweli kuna wapenzi wa kazi yangu wamelalamika sana kila kona ya dunia kuhusu kampeni ya peace one day kwanini hamkuna hilo!! imeniuma " . baadhi ya maneno ya alikiba kwenye ukurasa wake