Imepita miaka 7 toka tumeachana, jana kanitumia SMS ya kejeli

Yawezekana mfululizo wa nyimbo za maex kama za kina Chino,zinamfanya akukumbuke.... Pole sana,ukute kakutana na wanaume ambao wewe una uafadhali,hivyo anataka muongee.
 
Ndivyo inavyokuwa akishapigwa matukio anakumbuka wema wako
 
Back
Top Bottom