Pole mkuu naomba kuuuliza unakaa maeneo ya baridi?
Kingine je ulikutana kimwili hapo nyuma na mtu unae mtilia shaka afy
Mdomo una afya kabisa UKIMWI uutoe wapi. Hata kama una maambukizi lakini ikifika stage ya kuwa UKIMWI Hauwezi kuwa hivo lazima uchakae.Imepita wiki 3 na mdomo mkavu na kidonda kidogo kwenye lip ya juu hakiumi ila Sina dalili zingine kama kuumwa kichwa au homa je na UKIMWI
View attachment 3181547
Yap anasema ye anao ila zimepita wiki 3 naona tu mdomo mkavu na ulimi mweupe Sina homa wala kichwa hakiumi sema nikitumia Kinga badaa apo niliifuta na towel alafu nikapiga punyeto sijui labda apo ndo nilipofeliPole mkuu naomba kuuuliza unakaa maeneo ya baridi?
Kingine je ulikutana kimwili hapo nyuma na mtu unae mtilia shaka afya yake?
Unao mkuu. Yenyewe kabisaSo ninao au Sina kwa kuangalia izo pics
Ss wiki 3 iyo sema ni dalili Moja iyo na ulimi mweupe sijui ssMdomo una afya kabisa UKIMWI uutoe wapi. Hata kama una maambukizi lakini ikifika stage ya kuwa UKIMWI Hauwezi kuwa hivo lazima uchakae.
Una uwakikaUnao mkuu. Yenyewe kabisa
So ninao au
Ndio mkuuUna uwakika
Dogo tulia basi kwanza mbona umepagawa kiasi hicho?Bei za vipimo pharmacy shingapi
Ukiswaki sugua ulimi huo watu wenye UKIMWI Hawawi kama wewe. Una miaka mingapi kwani?Ss wiki 3 iyo sema ni dalili Moja iyo na ulimi mweupe sijui ss
UnaoSo ninao au
Kwa nn unasema ivyoNdio mkuu
UnakuajeUkiswaki sugua ulimi huo watu wenye UKIMWI Hawawi kama wewe. Una miaka mingapi kwani?
Duh pole sana nenda kituoa cha afya haraka uanze kupima kwanza na kama hauna upewe dawa ili kujilinda dhidi ya kirusi cha ukimwiYap anasema ye anao ila zimepita wiki 3 naona tu mdomo mkavu na ulimi mweupe Sina homa wala kichwa hakiumi sema nikitumia Kinga badaa apo niliifuta na towel alafu nikapiga punyeto sijui labda apo ndo nilipofeli