Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui mijini Ila vijijini ni 1500 mpaka 2500 kulingana na kipimo husika .Bei za vipimo pharmacy shingapi kwani
Ok mkuu na dry mouth nj stress auSugua ulimi wakati unaswaki hiyo white colour ni uchafu mkuu, by the way kapime ujiridhishe.
Unaijua afya ya muhusika.?Ok mkuu na dry mouth nj stress au
Ukimwi unaambukizwa kutokana na michubuko inayotokana na msuguano kati ya uume na uke sasa wewe mkono wako huo ukimwi uliiutoa wapi?Sikuridhika ndio so ndo nikajipa kirusi au ni mm tu na mawazo yangu
Punguza wasiwasi, nenda kapime.
Na je mli-share midomo?(Denda)Ok mkuu na dry mouth nj stress au
Umejaribu kugoogle😂?! Utapata dalili zote za ukimwi unazo.kumbe huna ukimwiImepita wiki 3 na mdomo mkavu na kidonda kidogo kwenye lip ya juu hakiumi ila Sina dalili zingine kama kuumwa kichwa au homa je na UKIMWI
View attachment 3181547
HapanaNa je mli-share midomo?(Denda)
Kama yes then yeye akawa na kidonda mdomoni na wewe ukawa na kidonda mdomoni hapo ndiyo shida itakapoanzia.
Sema google wanasema hizo dalili kama mdomo mkavu unaweza ikawa stress sana ila ulimi ss ndo sielewiUkimwi unaambukizwa kutokana na michubuko inayotokana na msuguano kati ya uume na uke sasa wewe mkono wako huo ukimwi uliiutoa wapi?
Au hiyo punyeto ulijipiga kwa kutumia mkono wa huyo mwanamke?mpaka sasa sijui kama nimekuelewa vizuri maelezo yako yapo so complicated.
Wananiambia mdomo mkavu unaweza ikawa kwasababu ya stress pia ila ulimi mweupe sijui ss nn apoUmejaribu kugoogle😂?! Utapata dalili zote za ukimwi unazo.kumbe huna ukimwi
Shida kwa ss ndo sijui mkuu wiki 3 zimepita ila ndo mdomo mkavu na kidonda kidogo kwenye lip ya juu na ulimi mweupe Sina homa wala kichwa apo sijui ssKama unaogopa UKIMWI achana kabisa na tendo la kujamiiana maana unaweza kujilinda lakini bado mpenzi / mkeo akakuletea
Kwl aiseePicha haziwezi kukupa majibu kamili, msaada utakaopata hapa ni comfort zone tu.
Nenda kapime mapema.
Ushauri wangu:
Oa mwanamke uishi naye, Kwa ishara hizi, Ngono wewe huiwezi. Utafanya ngono na kuweweseka sana. Tafuta mwanamke upime naye HIV uoe kabisa.
Imeisha hiyo mkuu🥴Ila naona Hadi tongue imekuwa white ata sielewi
Good LuckKwl aisee
KwambaImeisha hiyo mkuu🥴