Imepita wiki 3 mdomo wangu mkavu na kidonda kidogo kisicho na maumivu. Je, nina UKIMWI?

Imepita wiki 3 mdomo wangu mkavu na kidonda kidogo kisicho na maumivu. Je, nina UKIMWI?

Sema google wanasema hizo dalili kama mdomo mkavu unaweza ikawa stress sana ila ulimi ss ndo sielewi
Kwani wewe sheikh upo Tanzania gani isiyokuwa na kituo cha afya karibu?

Nenda kapime,na hizi ndiyo gharama za uzinzi unaishi kwa wasiwasi sometimes huna homa yoyote.
 
Umejuaje mkuu
Mdomo mkavu kunywa sana Maji, ulimi sugua unaposwaki kama wadau walivyokwambia, kidonda kuna homa sana siku hizi za mabadiliko ya hali ya hewa...virusi ungekua navyo ungejua. Kitu kigeni kikiingia kwenye mwili wako lazima uhisi tofauti... Kutoa hayo mawazo nakushauri kapime, ila sidhani kama una maambukizi
 
Polee mkuu, Jitahidi kula sana machungwa na vitu vyenye wingi wa vitamin c,, unakosa vitamin c mwilini.. We kula machungwa, mapera, zabibu etc, kwa wiki tuu utakaa sawa.. Usisahau kusugua huo ulimi wakati wa kupiga mswaki. 😊
 
Sure ukosefu wa vitamin C unasababisha midomo mikavu na kubabuka
 
Mdomo mkavu kunywa sana Maji, ulimi sugua unaposwaki kama wadau walivyokwambia, kidonda kuna homa sana siku hizi za mabadiliko ya hali ya hewa...virusi ungekua navyo ungejua. Kitu kigeni kikiingia kwenye mwili wako lazima uhisi tofauti... Kutoa hayo mawazo nakusharuo kapime, ila sidhani kama una maambukizi
Sawa kaka acha nikapime ila demu anasema anao
 
Sawa kaka acha nikapime ila demu anasema anao
Sema nilitumia Kinga sema baada ya show du niliifuta mikono na towel alafu nikapiga punyeto apo ndo inanitatiza itakuwa ndo nilipata apo
 
Sema nilitumia Kinga sema baada ya show du niliifuta mikono na towel alafu nikapiga punyeto apo ndo inanitatiza itakuwa ndo nilipata apo
Hujui hata HIV inaambukizwaje🙄
 
Back
Top Bottom