Imepita wiki 3 mdomo wangu mkavu na kidonda kidogo kisicho na maumivu. Je, nina UKIMWI?

Imepita wiki 3 mdomo wangu mkavu na kidonda kidogo kisicho na maumivu. Je, nina UKIMWI?

Imepita wiki 3 na mdomo mkavu na kidonda kidogo kwenye lip ya juu hakiumi ila Sina dalili zingine kama kuumwa kichwa au homa je na UKIMWI

View attachment 3181547
Mdomo una afya kabisa UKIMWI uutoe wapi. Hata kama una maambukizi lakini ikifika stage ya kuwa UKIMWI Hauwezi kuwa hivo lazima uchakae.
 
Tafuta utomvu wa mti wa mbono tia hapo siku tatu kwishaa.Ikishindikana sasa nenda Muhimbili.
 
Pole mkuu naomba kuuuliza unakaa maeneo ya baridi?
Kingine je ulikutana kimwili hapo nyuma na mtu unae mtilia shaka afya yake?
Yap anasema ye anao ila zimepita wiki 3 naona tu mdomo mkavu na ulimi mweupe Sina homa wala kichwa hakiumi sema nikitumia Kinga badaa apo niliifuta na towel alafu nikapiga punyeto sijui labda apo ndo nilipofeli
 
Mdomo una afya kabisa UKIMWI uutoe wapi. Hata kama una maambukizi lakini ikifika stage ya kuwa UKIMWI Hauwezi kuwa hivo lazima uchakae.
Ss wiki 3 iyo sema ni dalili Moja iyo na ulimi mweupe sijui ss
 
Bei za vipimo pharmacy shingapi
Dogo tulia basi kwanza mbona umepagawa kiasi hicho?

Au uligonga kavu unatudanganya hapa ulivaa kinga ukiogopa tutakupopoa?maana kama kweli ulivaa kinga siioni haja ya kuweweseka.
 
Yap anasema ye anao ila zimepita wiki 3 naona tu mdomo mkavu na ulimi mweupe Sina homa wala kichwa hakiumi sema nikitumia Kinga badaa apo niliifuta na towel alafu nikapiga punyeto sijui labda apo ndo nilipofeli
Duh pole sana nenda kituoa cha afya haraka uanze kupima kwanza na kama hauna upewe dawa ili kujilinda dhidi ya kirusi cha ukimwi
 
Back
Top Bottom